Your Majesty
JF-Expert Member
- Aug 29, 2018
- 3,242
- 5,345
Kama unavyojua Simba akiwa uwanjani wa Taifa kazi ni moja tu USHINDI USHINDI USHINDIPole sana aisee. Nikajua moyo wako ni wa Plastick basi. ππ
Kabiiisaaa hapa tunaganga yajayo. Vp lakini jioni na nyie mnacheza unaniaminishaje?
Ila mna maneno sana yaani. Tumeshakuwa mabondia. DuuhMabondia na wacheza karate mpo?
Eeeeeeeeh.Kama unavyojua Simba akiwa uwanjani wa Taifa kazi ni moja tu USHINDI USHINDI USHINDI
Yule alijitakia mwenyewe mtani au hukuona hilo?π€£π€£π€£ Hebu ukooo. Mbona hata nyie mlimfanyia vibaya yule Dr wa Nkana kule Zambia.
Halafu jana mabeki wako wamecheza wimbo wa malwedhe lile goli la tatu.Ila mna maneno sana yaani. Tumeshakuwa mabondia. Duuh
πππ ndio Ubondia wenyewe huo.Yule alijitakia mwenyewe mtani au hukuona hilo?
πππ nilichukia. Usinikumbushe Sapta. πππHalafu jana mabeki wako wamecheza wimbo wa malwedhe lile goli la tatu.
[emoji23] [emoji23] Tulishapoa aisehh acha vurugu, nyie jana mmetafutana mkapoteana, midfielder imepotea kabisa mlizidiwa mkakosa pumziNaomba nihesabu Mkuu.
Moja, mbili , tatu , nne , tano. π€£π€£π€£π€£ zoote zimeingia nyavuni.
Yalishapita hayo banaaa Mtani tugange ya Leopards. ππππ[emoji23] [emoji23] Tulishapoa aisehh acha vurugu, nyie jana mmetafutana mkapoteana, midfielder imepotea kabisa mlizidiwa mkakosa pumzi
Sent using Jamii Forums mobile app
Daaah pole mtani wakati mwingine ukiangalia mpira unatakiwa Kuwa na roho ngumu sana maana hujui kitatokea nini ila tuko pamoja mtani wangu.πππ nilichukia. Usinikumbushe Sapta. πππ
Hahaaa. Usijali Mtani. ππππDaaah pole mtani wakati mwingine ukiangalia mpira unatakiwa Kuwa na roho ngumu sana maana hujui kitatokea nini ila tuko pamoja mtani wangu.
Hawataki kusema waache wapambane na hali zaoNjaa si kitu kizuri kabisaaa...! Isaidieni timu yenu Yanga ili isife na njaa kifedha.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo kuna hoja.
huyu Kindoki anafanya nini Yanga?Sio siri wadau leo hii game imeniuma sana kama mwana yanga hasa nikimuona Kindoki alivokua anadaka upepo
Sent using Jamii Forums mobile app
Uwiiii.Niliwahi kusema na narudia binti akitolewa bikira hawezi kutulia ng'oooo
πππ nawaoneni mlivyoteseka maana si kwa kujazana huku.Hapa hawaji kuchangia wanajua juzi walitukana sana saivi wamejificha utawasikia kesho jioni
Sent using Jamii Forums mobile app
ππππ mi mmoja wapo Mtani. πππWapo kimya wanasubiri Simba ifungwe
Ikitokea tuchukue halafu tucheze na Everton kuna watu watakufa kwa kihoro