SportsPesa Cup: Yanga 2 - 3 Kariobang Shark

SportsPesa Cup: Yanga 2 - 3 Kariobang Shark

Pole sana aisee. Nikajua moyo wako ni wa Plastick basi. ๐Ÿ™ˆ๐Ÿ™ˆ

Kabiiisaaa hapa tunaganga yajayo. Vp lakini jioni na nyie mnacheza unaniaminishaje?
Kama unavyojua Simba akiwa uwanjani wa Taifa kazi ni moja tu USHINDI USHINDI USHINDI
 
๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ nilichukia. Usinikumbushe Sapta. ๐Ÿ˜”๐Ÿ˜”๐Ÿ˜”
Daaah pole mtani wakati mwingine ukiangalia mpira unatakiwa Kuwa na roho ngumu sana maana hujui kitatokea nini ila tuko pamoja mtani wangu.
 
Ni udhaifu wa ligi yetu, Eti timu inayoongoza ligi kutolewa kwenye michuano na timu ya tano huko kenya
Taifa la watu wavivu wavivu tu wa kimwili na kifikra
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Na bado tunangojea bakora. Kindoki kipenzi cha Zahera.
 
Back
Top Bottom