SportsPesa Cup: Yanga 2 - 3 Kariobang Shark

Kocha mamaaae anazingua anataka Kindoki awe na abaki first choice.... Mkongo mwenzie.
 
Hawa Sharks wapo vizuri .....labda Yanga waje na mipango mingine kipindi cha pili
Swali la msingi: Je wana mpango mpya? πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Anajifanya kawasahau Wakongoman walichowafanya Jumamosi[emoji16]
Eti wamepata pa kujipoozea leo. 🀣🀣🀣🀣

Ila wakae wakijua tano nyingi jamaani.
 
Eti wamepata pa kujipoozea leo. [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Ila wakae wakijua tano nyingi jamaani.
Yaani bora tu wakae kimya waendelee kuugulia maumivu ya 5-0
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…