Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji3525][emoji3525][emoji3525]
😃😃 Upele umepata mkunaji 😃😃😃
Usinisemeshe[emoji3525][emoji3525][emoji3525]
Tuacheni Mambo ya ajabu hakuna goal la kumlaumu Kindoki kajitahidi ad sasa. Wachezaji wa ndani ndo wanazingua.Kocha mamaaae anazingua anataka Kindoki awe na abaki first choice.... Mkongo mwenzie.
Nimechoka kuchekwa shemela, kumsamehe inatucost kiasi gani kuliko kumwendekeza kocha?
Anajifanya kawasahau Wakongoman walichowafanya Jumamosi[emoji16][emoji2][emoji2] Upele umepata mkunaji [emoji2][emoji2][emoji2]
Hahahahaaa.
Ngapi hukoSasa sisi baba zenu (Yanga) na nyie mikia fc waporipori, ni nani wenye dharau....
Dharau zenu si ndio ziliwaponza mkapigwa 5:0
Sent using Jamii Forums mobile app
Eti wamepata pa kujipoozea leo. 🤣🤣🤣🤣Anajifanya kawasahau Wakongoman walichowafanya Jumamosi[emoji16]
Saafi. Mnunie. 😂😂😂Usinisemeshe[emoji3525][emoji3525][emoji3525]
Yaani bora tu wakae kimya waendelee kuugulia maumivu ya 5-0Eti wamepata pa kujipoozea leo. [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ila wakae wakijua tano nyingi jamaani.
Yah. Wayaugulie tu.Yaani bora tu wakae kimya waendelee kuugulia maumivu ya 5-0