SportsPesa Cup: Yanga 2 - 3 Kariobang Shark

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Ngapi hukooooooooo Shadeeya nakusalimia ndugu yangu nimekumiss tu
 
Timu za bongo shida sana,badala watu wakaze kiuno ili mje mcheze na Everton mjiuze kimataifa....mnalukaluka tuuu. Kenya wanaingiza timu mbili nusu fainali mpaka sasa, Mbao FC sidhani kama ana ubavu wa kumpiga Gormahia, labda tungoje huyo Simba FC.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…