SportsPesa Cup: Yanga 2 - 3 Kariobang Shark

SportsPesa Cup: Yanga 2 - 3 Kariobang Shark

Nacheck kupitia KBC, wakenya wanapamba sana timu zao....wanasema mpaka sasa timu mbili za Kenya zimeingia nusu fainali na zile mbili za Tanzania zimerudi Home....eti HOME.....noma aiseeeee, wanakuja kwenu na mabegi kumchukua mwali.....😳😳
 
Kwani wamedanganya? Wapi Singida. Wapi Yanga.
Nacheck kupitia KBC, wakenya wanapamba sana timu zao....wanasema mpaka sasa timu mbili za Kenya zimeingia nusu fainali na zile mbili za Tanzania zimerudi Home....eti HOME.....noma aiseeeee, wanakuja kwenu na mabegi kumchukua mwali.....[emoji15][emoji15]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
FT: singida 0 vs 1 bandari
FT: yanga 2 vs 3 kariobangi

timu mbili za tanzania tayari zimeaga mashindano haya ya sportpesa.

mechi za kesho.
mbao vs gormaia
simba vs fc leopard

nini maoni yako kuhusu mechi hizi za leo na timu hizi za tanzania kufungwa.. unadhani ni nini tatizo mpaka timu hizi za tanzania kufungwa?
na tutegemee nini kwa wawakilishi wengine wa tanzania hapo kesho.??
 
Back
Top Bottom