Ulimakafu
JF-Expert Member
- Mar 18, 2011
- 31,248
- 13,244
Ungese....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ungese....
Ndio maana wamegeuza uwanja kijiwe cha kupiganaSiku ile walivutishwa unga na mateja wa Stendi, leo wamebadilishiwa dozi wamevutishwa Bangi[emoji3][emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
FT: singida 0 vs 1 bandari
FT: yanga 2 vs 3 kariobangi
timu mbili za tanzania tayari zimeaga mashindano haya ya sportpesa.
mechi za kesho.
mbao vs gormaia
simba vs fc leopard
nini maoni yako kuhusu mechi hizi za leo na timu hizi za tanzania kufungwa.. unadhani ni nini tatizo mpaka timu hizi za tanzania kufungwa?
na tutegemee nini kwa wawakilishi wengine wa tanzania hapo kesho.??
Masikiniiii huruma sanaSiku ile walivutishwa unga na mateja wa Stendi, leo wamebadilishiwa dozi wamevutishwa Bangi[emoji3][emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
Bangi imewavuruga hawa
Hahahahh..! No team free mind huwa nafurahia vijembe tu.Mie naomba sana Mungu atukutanishe Simba na hawa Vyura
Midomo iishe sio kwa dharau waliyo nayo saivi
Mkuu si Yanga tu pale waamuzi wangekua makini zilitakiwa zitembee kadi pande zote zakutosha tu duuhPale nafikiri refa kaogopa ila Yanga pale walistahili redcard jamaa kampiga ngumi ya kichwa golikipa
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani kimewakuta nini mkuu?
Duuuh chura kavuta bangi bila kupenda tena nyumbani kwake
Mkuu siyo tabia nzuri bwana unawaogopesha vyura aisee wakiona hiyo wataingia mivunguni
Na wewe pia vivyo hivyo ujitahidi kuandika vizuri mkuu ni uandishi siyo uandidhi