Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ushindi lazimaSimba msituangushe mjuee.
Hawa jamaa watatutukana sana leo tukifungwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Hizi klabu za Tz huwa hazijali usizipe matumaini makubwa
Kwa Simba sina shakaHizi klabu za Tz huwa hazijali usizipe matumaini makubwa
Simba msituangushe mjuee.
Hawa jamaa watatutukana sana leo tukifungwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Kadri muda unavyosogea nawaona Watani zangu mnavyoanza kuteseka.Hizi klabu za Tz huwa hazijali usizipe matumaini makubwa
Wewe ndio unatesekaKadri muda unavyosogea nawaona Watani zangu mnavyoanza kuteseka.
Mi nasema zidini kuomba tu mpate kushinda.
Eeeeeeee. "KWA SIMBA HUNA SHAKA" Haya.
🤣🤣🤣🤣 kiaje sa?
Utajua saa 12[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kiaje sa?
😃😃😀😀😀
Hapa kwa Simba ndio tunawaona kama wawakilishi wanaoweza kubakisha ubingwa hapa nyumbani lakini..........pia kumbuka si kazi nyepesi na hii michuano hizi klabu zetu inazichukulia poa Sana wao wameridhika na ligi ya TPL tu.Kadri muda unavyosogea nawaona Watani zangu mnavyoanza kuteseka.
Mi nasema zidini kuomba tu mpate kushinda.
Wanajitahidi safi SanaMbao wanashinda katika penat