Sisi mashabiki tunapata ngapi?
Moja kwa moja kwenda kulipa madeni ya Mo. Sasa anaidai Simba billion 8Mamilioni yameendelea kumwagika Msimbazi baada ya leo wadhamini wakuu kampuni ya Sportpesa kuwakabidhi mabingwa wa nchi hundi ya Tsh Milioni 100 zikiwa ni fedha za bonus
Simba imekabidhiwa fedha hizo mbele ya viongozi wake pamoja na wachezaji ambao walifika Makao Makuu ya SportPesa wakiambatana na taji la ligi kuu walilotwaa msimu uliopita
Azam atakataa kuvaa hiyo nembo na kurusha kwenye TVHawa SportPesa wangedhamini tu ligi yetu
Huenda wakalamba pesa za CAF (billion 1.5) wakifanikiwa kuingia hatua ya makundi muhimu wajipange tu pesa zinakuja.Viti maalum mpaka sasa account yao haijasoma hata zile rambirambi za changia baba....