Sportspesa yakabidhi milioni 100 club ya Simba

Sportspesa yakabidhi milioni 100 club ya Simba

ZionGate

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
6,362
Reaction score
2,991
Mamilioni yameendelea kumwagika Msimbazi baada ya leo wadhamini wakuu kampuni ya Sportpesa kuwakabidhi mabingwa wa nchi hundi ya Tsh Milioni 100 zikiwa ni fedha za bonus

Simba imekabidhiwa fedha hizo mbele ya viongozi wake pamoja na wachezaji ambao walifika Makao Makuu ya SportPesa wakiambatana na taji la ligi kuu walilotwaa msimu uliopita
 
Zitaingia kwa account ya MO au Mzee kilomoni
 
Sisi mashabiki tunapata ngapi?
 
Ulitaka apewe nani?Mzee Aikilimali?Hivi hamna zawadi ya mshindi wa pili?Njaa imezidi mjini.
 
Mamilioni yameendelea kumwagika Msimbazi baada ya leo wadhamini wakuu kampuni ya Sportpesa kuwakabidhi mabingwa wa nchi hundi ya Tsh Milioni 100 zikiwa ni fedha za bonus

Simba imekabidhiwa fedha hizo mbele ya viongozi wake pamoja na wachezaji ambao walifika Makao Makuu ya SportPesa wakiambatana na taji la ligi kuu walilotwaa msimu uliopita
Moja kwa moja kwenda kulipa madeni ya Mo. Sasa anaidai Simba billion 8
 
Hawa SportPesa wangedhamini tu ligi yetu
 
Viti maalum mpaka sasa account yao haijasoma hata zile rambirambi za changia baba....
Huenda wakalamba pesa za CAF (billion 1.5) wakifanikiwa kuingia hatua ya makundi muhimu wajipange tu pesa zinakuja.
 
Na sisi Yanga hatuambulii hata kidogo, this is not fair. Sport pesa wamehongwa so bure.
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Back
Top Bottom