Ed edd n eddy
JF-Expert Member
- Jan 3, 2016
- 212
- 270
Kwenye pc haina restriction sana na waweza chagua nyimbo yoyote bila unlimited choice...Mimi kwenye simu naona walinistukia wakablock account Yangu wakaniambia hadi nirudi kwetu(marekani)ndo itakubali...nlijaribu kwa vpn ikazingua..Ukifuata maelekezo hapo juu hautahitaji kujua VPN ni nini. Ila ukikwama mahali nijulishe humu nitakuelekeza
ondoa hiyo livescore, sio ya kijanja sanaaa [emoji23]Haifunguki vipi? Mi nime download nakula ngoma vibaya sana View attachment 819142
kwenye kujisajili sptfy niki click done hakuna kinacho tokea inaishia hapo tuLink inazengua kucopy. Hlf link ya APP moja kwa moja itaku-Redirect kwenda "Playstore" hlf utakutana na hicho kisanga cha "NOT AVAILABLE IN YOUR COUNTRY "
Fanya hivi
1. Search google "download spotify"
2. Chagua results zenye neno "uptodown" kwenye link, angalia mfano hizo mbili kwenye attachment
3. Kisha bonyeza 'old version "
4. Zitakuj nyingi chagua yeyote, ila mimi napend ya
5. Sijui kwa simu nyingn ila kwa galaxy 6 edge nikufungua hiyo download ili ni-install nitaletew option ya kufanya "temporary" modification kwenye security settings kwamba NI-ALLOW KUACCEPT APPS FROM OTHER MARKET (I.E GOOGLE) TOFAUTI NA PLAYSTORE.
This suggests husipoletea hiyo option nenda SETTING kabadilishe nafikiri ni kwenye security/privacy
6. Kisha kullow such modification ninaistall moja kw moja.
7. Kabla hujaji-Register download "VPN MASTER" kwenye PLAYSTORE itakayokuruhusu kutumia hii app ukiwa Tanzania.
8. Kisha ifungue vpn na u-set USA/CANADA
9. Nenda kujisajiri spotify.
10. Enjoy streaming millions musics at a cheapest cost i.e sio zaidi ya MB 20 kwa siku nzima continuously
Umewasha VPN?kwenye kujisajili sptfy niki click done hakuna kinacho tokea inaishia hapo tu
View attachment 819187
ndio japo sio ile master vpn ni nyingineUmewasha VPN?
Una uhakika ulidownload spotify hizi zenye neno uptodown kwenye linkndio japo sio ile master vpn ni nyingine
Kula ngoma kula ngomaNakula ngoma hapa za hatari..now nakula X album ya Chriss Brown View attachment 819365
Poa mkuu..ShukraniHongera mkuu, Spotify ndio habari ya mjini inazidi kutrend, na more likely with time watu watashindwa kunitumia nahisi restrictions zitakuw kali zaidi. Sasa kuna kipindi ikipita kama week 3 hivi utakuta imeku-log out. So principles ni zile zile washa VPN hlf log-in i. Ukimaliza ku-log in ZIMA VPN,
Hata GB inaweza fika,kulingana na muda unaosikiliza, wingi wa nyimbo na audio quality uliyoweka.Wastani kwa siku unaweza kutumia Mb ngapi?
Asante kwa jibu mubashara.Hata GB inaweza fika,kulingana na muda unaosikiliza, wingi wa nyimbo na audio quality uliyoweka.
Mkuu mbona mi hi vpn inagoma... Na nashindwa kujisajil spotifyLink inazengua kucopy. Hlf link ya APP moja kwa moja itaku-Redirect kwenda "Playstore" hlf utakutana na hicho kisanga cha "NOT AVAILABLE IN YOUR COUNTRY "
Fanya hivi
1. Search google "download spotify"
2. Chagua results zenye neno "uptodown" kwenye link, angalia mfano hizo mbili kwenye attachment
3. Kisha bonyeza 'old version "
4. Zitakuj nyingi chagua yeyote, ila mimi napend ya
5. Sijui kwa simu nyingn ila kwa galaxy 6 edge nikufungua hiyo download ili ni-install nitaletew option ya kufanya "temporary" modification kwenye security settings kwamba NI-ALLOW KUACCEPT APPS FROM OTHER MARKET (I.E GOOGLE) TOFAUTI NA PLAYSTORE.
This suggests husipoletea hiyo option nenda SETTING kabadilishe nafikiri ni kwenye security/privacy
6. Kisha kullow such modification ninaistall moja kw moja.
7. Kabla hujaji-Register download "VPN MASTER" kwenye PLAYSTORE itakayokuruhusu kutumia hii app ukiwa Tanzania.
8. Kisha ifungue vpn na u-set USA/CANADA
9. Nenda kujisajiri spotify.
10. Enjoy streaming millions musics at a cheapest cost i.e sio zaidi ya MB 20 kwa siku nzima continuously
Hakun kitu kama hicho hata usikilize week nzima mfululizo GB moja huwez maliza, kwa mb 10 unaweza sikiliza usiku mzimaHata GB inaweza fika,kulingana na muda unaosikiliza, wingi wa nyimbo na audio quality uliyoweka.
Kuna kitu hakipo sawa, restart simu hlf anza kuwasha VPN kabla ya kujisajil. Hakikisha umewek isome "USA"Mkuu mbona mi hi vpn inagoma... Na nashindwa kujisajil spotify
Hapo utasikiliza nyimbo ambazo umeshazisikiliza tayari kwasababau huwa zinahifadhiwa katika simu yako.Hakun kitu kama hicho hata usikilize week nzima mfululizo GB moja huwez maliza, kwa mb 10 unaweza sikiliza usiku mzima
Hakuna cha kuhifadhi wala nini, kwasababu nyimbo zote wedha zipo kweny playlist au weekly discovered una stream, na sio kudownload na ndio maana husipokuw n bando hata huwez kucheza nyimbo yeyote. Bando litaliwa kama tu husipozima VPN.Hapo utasikiliza nyimbo ambazo umeshazisikiliza tayari kwasababau huwa zinahifadhiwa katika simu yako.
Jaribu kusikiliza nyimbo mpya ambazo hujawahi kuzisikiliza uone kama hizo mb 10 zako zitakufikisha popote...
Basi endelea kununua memory card n kudownload nyimboInatumia Megabytes nyingi.View attachment 822741
Mkuu hapa umesema uongo..mimu nilistream kwa lisaa limoja..quality ilikuwa ni high 0.5gb zikaondoka..ukiweka normal kwa siku nzima hio Gb moja lazima iishe.Hakun kitu kama hicho hata usikilize week nzima mfululizo GB moja huwez maliza, kwa mb 10 unaweza sikiliza usiku mzima