Link inazengua kucopy. Hlf link ya APP moja kwa moja itaku-Redirect kwenda "Playstore" hlf utakutana na hicho kisanga cha "NOT AVAILABLE IN YOUR COUNTRY "
Fanya hivi
1. Search google "download spotify"
2. Chagua results zenye neno "uptodown" kwenye link, angalia mfano hizo mbili kwenye attachment
3. Kisha bonyeza 'old version "
4. Zitakuj nyingi chagua yeyote, ila mimi napend ya
5. Sijui kwa simu nyingn ila kwa galaxy 6 edge nikufungua hiyo download ili ni-install nitaletew option ya kufanya "temporary" modification kwenye security settings kwamba NI-ALLOW KUACCEPT APPS FROM OTHER MARKET (I.E GOOGLE) TOFAUTI NA PLAYSTORE.
This suggests husipoletea hiyo option nenda SETTING kabadilishe nafikiri ni kwenye security/privacy
6. Kisha kullow such modification ninaistall moja kw moja.
7. Kabla hujaji-Register download "VPN MASTER" kwenye PLAYSTORE itakayokuruhusu kutumia hii app ukiwa Tanzania.
8. Kisha ifungue vpn na u-set USA/CANADA
9. Nenda kujisajiri spotify.
10. Enjoy streaming millions musics at a cheapest cost i.e sio zaidi ya MB 20 kwa siku nzima continuously