mzee wa kismati
JF-Expert Member
- Aug 25, 2013
- 2,292
- 798
- Thread starter
-
- #61
Mfano angalia Data usage mwezi uliopita, Spotify imezidiw hata na whatsapp.
Ni vizuri zaidi kuwa na memory card ukahifadhi album uzipendazo.Basi endelea kununua memory card n kudownload nyimbo
Hakuna kitu spotify haina, album zote unazijua na husizosifahamu zipo.Ni vizuri zaidi kuwa na memory card ukahifadhi album uzipendazo.
Uipakue wapi mkuu?play store?[emoji32][emoji32][emoji32]Ngoja niipakue kwanza halafu nije! Vipi kuhusu Deezer app lakini?
Nimepitia nimeona album nyingi hata zile ambazo sikuzifikiria.Hakuna kitu spotify haina, album zote unazijua na husizosifahamu zipo.