Spotify imeanza kuweka Lyrics katika muziki yake

Kasomi

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2014
Posts
11,030
Reaction score
20,391
Finally, App ya Spotify imeanza kuweka Real-Time Lyrics katika Miziki kwa watumiaji wote duniani. Real-time lyrics ni uwezo wa kuona lyrics kuendana na muziki unaosikiliza.

Feature hii ilikuwa inafanyiwa majaribio katika baadhi ya nchi, na Leo Spotify imesema itaweka rasmi kwa watumiaji wote (kwa watumiaji wanaolipia na watumiaji ambao wanatumia huduma ya bure) katika apps (Android na iOS), na Spotify ya PC.

Spotify imeshirikiana na Musixmatch kuwezesha hayo maboresho. Feature hii ikianza kutoka rasmi: Utaweza kutazama Lyrics za Nyimbo. Update App ya Spotify > ukiwa unasikiliza nyimbo, swipe-up kuona lyrics.

Apple Music imekuwa ikiishinda Spotify katika issue ya kuweka lyrics, kwa sababu ilitumia akili kuinunua Shazam na database yake. Dezer, Apple Music, Tidal, Amazon na platform nyingi zimeweka lyrics. It’s good kuona Spotify imeweka Lyrics kwa watumiaji wote duniani, inaweza kuwa sababu ya kunirudisha Spotify.
 

Katika hizi music streaming app Tidal ana best sound quality,siku ikipatikana Tz utanielewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…