Njia rahisi ni kununua kwenye Duty Free shops ukiwa unasafiri au kuagiza ndugu jamaa na marafiki wakiwa wanasafiri. Binafsi nina bahati naleta mzigo almost every week from EU so nikihitaji tu napata within a week.Word. Mkuu hebu gawa hayo maujanja, tunapataje madude ya ukweli kwa bei nafuu? i hate buying an item at a higher price while i could get same at lower price
JD pharmacy wako vizuri.Duka gani nikienda ntapata original mkuu..?
Mkuu nimejaribu kuiulizia hii kitu kwenye maduka mbali mbali inaonekana ni adimu kidogo..achana na spray kamata perfume kabisa
epic adventure sh. 40000 mpaka 50000/-
upo dar au wapi?Mkuu nimejaribu kuiulizia hii kitu kwenye maduka mbali mbali inaonekana ni adimu kidogo..
Kama unajua mahali nikienda ntaipata bila shaka nijuze tafadhali..
Niko dar kiongozi..upo dar au wapi?
Ipoje kwani my diaEpic is something else
Nikisikiaga harufu ya hii perfume naloa
sasa najua [emoji39] [emoji39]Epic is something else
Nikisikiaga harufu ya hii perfume naloa
KobraHabarini wadau
Ni spray gani nzuri na yenye harufu nzuri ya kiume kwa matumizi mazuri ya sisi magentleman?
Ipoje kwani my dia
ngoja nazo nizitafte hzoimo au intenseman
Pamoja sana mkuuTUMIA DARK FEVER.
NINZURI SANA KILA MTU ATAKUULIZA NA KUKUSIFIA.
MIMI NATUMIA DARK FEVER...NENDA KWENYE DUKA KUBWA LA PERFUME UTAIPATA..
HAIZID 17000
Mwenzangu Kitu Hicho Kinauzwa Laki Na kitu Atakiwezea Wapi Mie Napaka Fake Yake n[emoji23][emoji23][emoji23]Aje nimwelekeze Chimbo Langu La Fake Zinauzwa Buku Nne Nne[emoji23][emoji23][emoji23]Ninayotumia mimi hataiweza huyo wa mkoani ISSEY MIYAKE INTENSE
Cheeeee!! Nielekeze Na Mie Nikanunue[emoji54]Boys huwa wanatoa comments kama hii uliotoa. Watu wanatumia vitu kulingana na uwezo wao wa kifedha au misimamo yao. Kingine wewe unaweza kujisifia unatumia cologne ya 300,000/- wakati umepigwa tu wenzio tunanunua $50. Kuna cologne kibao hapa mjini(OG) zinauzwa 150,000-200,000 lakini wenigne tunazinunua kwa $30-50 tu.
haina spray yake??Epic is something else
Nikisikiaga harufu ya hii perfume naloa