Bonesmen
JF-Expert Member
- Jan 18, 2016
- 929
- 992
- Thread starter
- #21
Mwanadamu bado hajafikia uwezo wa kuverify hivi vitu physical elewa ivo ila vina exist , ni kama Anga za mbali zinavyoelezewa uwepo wake Unaweza kuthibitisha kuwa binadamu ana mawazo au akili? je huamini uwepo wa mawazo au akili ambayo ndio matokeo ya hivi vitu halisi, science ni nini?Issue siyo sayansi kuthibitisha au kutokuthibitisha
Sayansi haiwezi kuthibitisha uwepo wa Roho kwasababu haipo
Wewe unayesema roho ipo ndiye unayepaswa kututhibitishia