Mwanadamu bado hajafikia uwezo wa kuverify hivi vitu physical elewa ivo ila vina exist , ni kama Anga za mbali zinavyoelezewa uwepo wake Unaweza kuthibitisha kuwa binadamu ana mawazo au akili? je huamini uwepo wa mawazo au akili ambayo ndio matokeo ya hivi vitu halisi, science ni nini?Issue siyo sayansi kuthibitisha au kutokuthibitisha
Sayansi haiwezi kuthibitisha uwepo wa Roho kwasababu haipo
Wewe unayesema roho ipo ndiye unayepaswa kututhibitishia
Napenda maana yake. Ni moja kati ya salamu zenye maana nzuri nilizowahi kusikiaHii Sanskrit ya kibudha kwanini umeitumia, au ww ni MBuddha?
Katika hili huwa natofautiana nawewe lakini naukubali na kuuheshimu msimamo wakoHakuna kitu kinachoitwa roho
Na huyo Mungu uliyemtaja hapo hayupo.
Katika hili huwa natofautiana nawewe lakini naukubali na kuuheshimu msimamo wako
Ni kweli na upo sahihi lakini inahitajika uelewa wa kiwango chake mtu kuweza kulikubali hiliMkuu hakuna kitu kizuri Duniani kama kutofautiana
Wanadamu wote wangelikuwa na fikra sawa hakuna ambaye angejifunza kitu kipya
Kusingelikuwa hata na changamoto
Na maisha bila changamoto hayaendi Ati!
The first step to verification is recognization which is deeply tied to the EvidenceBonesmen said:Mwanadamu bado hajafikia uwezo wa kuverify hivi vitu physical elewa ivo ila vina exist,
Anga za mbali?Anga zipi?ni kama Anga za mbali zinavyoelezewa uwepo wake
Kuna njia kuu mbili za kuthibitisha kituUnaweza kuthibitisha kuwa binadamu ana mawazo au akili? je huamini uwepo wa mawazo au akili ambayo ndio matokeo ya hivi vitu halisi
Witchcraft au vitu kama imagination ni matokeo ya roho maana ina uungu ndani yake, Tatizo lako unajikiza tu mwenyewe mana nakuambia verify uwepo wa akili physical unaeleza kuwa ili tuthibitishe uwepo wa jambo sio lazima tulione physical bali ni matokeo sasa matokeo ya Akili na designed yanaanzia kiroho then ndo akili ina chambua yani ina act as processor lakin u must have a power to operate processor hio power ndo Roho sasaThe first step to verification is recognization which is deeply tied to the Evidence
Kama hakuna mwanadam anayeweza kuithibitisha
Huna haki ya kusema ipo.
Anga za mbali?Anga zipi?
Kuna njia kuu mbili za kuthibitisha kitu
Kukiona au kuona physical effect yake
Au kwa kutumia Logic
Tunaamini kuwa Akili na mawazo yapo kwasababu tunaona effect yake
Kuna physical effect yoyote ya Roho?
Tupe elimu nasi tujielimishe...nini maana ya salamu hiyo..?[/QUOTE]Tupe elimu nasi tujielimishe...nini maana ya salamu hiyo..?
a yake. Ni moja kati ya salamu zenye maana nzuri nilizowahi kusikia
We ushawahi kutest njaa? Bt mbona unakula kila baada ya masaa kadhaa!!! Ushawah kuiona njaa? If not na Mungu ndivyo alivyo hatumuoni LAKINI YUPOKama kitu chenyewe siyo testable umejuaje kama kipo?
Utajuaje kitu kipo wakati huwezi kuthibitisha uwepo wake?
Roho na mwili vinaweza kutengamana?
View attachment 321040[/QUOTE]Tupe elimu nasi tujielimishe...nini maana ya salamu hiyo..?
Issue siyo sayansi kuthibitisha au kutokuthibitisha
Sayansi haiwezi kuthibitisha uwepo wa Roho kwasababu haipo
Wewe unayesema roho ipo ndiye unayepaswa kututhibitishia
Unaweza ukanionyesha kani ya uvutano niione kwa macho niishike ili niamini kweli kani ya uvutano ipo?Kama kitu chenyewe siyo testable umejuaje kama kipo?
Utajuaje kitu kipo wakati huwezi kuthibitisha uwepo wake?
Roho na mwili vinaweza kutengamana?
Unaweza ukanionyesha kani ya uvutano niione kwa macho niishike ili niamini kweli kani ya uvutano ipo?
umejibu vizuri sana! ndio ipo ivyo kwa Mungu huwezi kumwona ila effects zake zinaonekana....ushajiuliza kwanini hizo kani ya mvutano zimekaa kimpangilio wa kusaidia uhai uendelee kuwepo na kwanini hazikukaa kutokusaidia uhai wa wanadamu?Unataka kuziona gravitons weye?
Nenda CERN
Si lazima uione kani ya uvutano ndo ujue ipo
Effect yake ndiyo inayothibitisha uwepo wake
umejibu vizuri sana! ndio ipo ivyo kwa Mungu huwezi kumwona ila effects zake zinaonekana....ushajiuliza kwanini hizo kani ya mvutano zimekaa kimpangilio wa kusaidia uhai uendelee kuwepo na kwanini hazikukaa kutokusaidia uhai wa wanadamu?
Kama hakuna Roho kuna tofauti gani kati ya kiumbe kilicho hai na kisicho na uhai ??
yeah of course!So order and complexity need a designer?