kabla hajajibu swali lako chanzo cha uhai duniani unakijua?Huitaji roho kutofautisha kitu chenye uhai na kisicho na uhai
Tofauti na rahisi tu
Kiumbe hai kimeundwa na cells,DNA na pia kina sensory perception
Kina kua na kuzaliana,sifa hizo zote huwezi kuzipata kwa kiumbe kisicho na uhai
Kwani jiwe linazaa?
[QUOTE =magagafu]yeah of course!
Mungu yupo hacha kuweka neno "ikiwa"ikiwa mungu hayupo hv ipi itakuwa asil ya mwanadam? Kwa maana wanadamu tumetokea wap? Na bnadamu Wa kwanza alkuwa nan? Naomba msaada katka hili jaman
Nataka kufaham kuwa upande Wa wasio na mungu mana nilazima tujifunzeMungu yupo hacha kuweka neno "ikiwa"
Hao watakuja na sayansi yao isiyo na uwezo wa kukuthibitishia!Nataka kufaham kuwa upande Wa wasio na mungu mana nilazima tujifunze
.Mkuu Rtbkazoba
Asante sana kwa uchambuzi wako mzuri na wakimantiki. Lakini mkuu msimamo wako ni upi? Roho haipo, kwa sababu hakuna jinsi ya kuthibitisha uwepo wake? Idealists hawapo sahihi? Mwisho wa yote mkuu, Asante sana kwa mchango wako. Watu kama nyie ni muhimu sana katika hili jukwaa. Karibu sana kiongozi!
Nimefika waoh
...Hebu fikiri je?umesha wahi kuuona 1.upepo? au 2.Ushawahi kuona umeme?......Lakini hivi vitu vipo.Hakuna kitu kinachoitwa roho
Na huyo Mungu uliyemtaja hapo hayupo.
Watu wengine wanafikir kwa kutumia makalio....siku nkikutana na wewe ambaye unasema Mungu hayupo, hapohapo nitamwomba akuoneshe kwamba yupo; nitakachomwomba ni abadilishe kichwa chako kikae sehem ya makalio na makalio sehem ya kichwa ili uendelee kufikir vzuri zaid kwa akili....NYUMBU