makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 31,583
- 92,670
- Thread starter
-
- #21
Na ndio nilichomaanisha mimi!!Nilivoelewa mimi...email address ya unayemdukua utaitumia kama username halafu utaweka password yako utakayo itumia ku log in kwa website
hiyo email ni ya play store au maana hapa tatizo lipo hapo au brother unaweza kuchukua email ya mtu bila passwordMkuu japo sijafanya ila naamini anamaanidha hivi!!
Ile application inakuwa kwenye simu ya muathirika, email yake inakuwa ipo pale so inakusanya habari zote katika simu ile!!
We unapokuja kulog in huku taarifa zake zote unakuwa nazo wewe... kifupi hiyo app inakuwa inakusanya habari zooote inaweka kumbukizi, so email inakuwa inakupa uwezo wa kuingia katika ile account ikiyohifadhiwa hayo mambo
Sijui kama nimeelewa sahihi!!
Mke wako akili hana.Hili ni bonge la app, mimi huwa nawachekaga tu rafiki zangu wanavyo jaribu kumtongoza mke wangu.
Pili imenisaidia kurudisha ktk familia viwanja vitatu alivyonunua mke wangu pasi na mimi kujua.
Ulivyoandika wewe kwa mtu ambaye hajui ataona rangi kwa sababu inatumika emai address ya targeted phone wengi wanafikili itatumika password ya iyo email address.Na ndio nilichomaanisha mimi!!
Hayo ndiyo maamuzi ya kiume. Hautakiwi kuogopa mapenzi bali mapenzi ndiyo yakuogope wewe. Ukiishi maisha hayo utakuwa na raha sana na wengi wanaishi maisha ya raha ni wale ambao hawakumbatii mapenzi. Utakuta mtu hata kushika simu ya mkewe anaogopa.Mkuu ukimchunguza saana bata mawili aidha usimle ama ukamla kwa uhakika na kujinafasi zaidi..
Usiogooe kuchunguza, sio mke wangu, ndio maana nimeanza kabisa angekuwa mke hapo sawa, tunataka kuingia huko ndio maama, kama ana mambo ya kiduwanzi nipige chini kabisa, kama safi na iwe safi.
Embu brother nipe njia au namna ya kufanya kazi hiyo app TafadhaliHili ni bonge la app, mimi huwa nawachekaga tu rafiki zangu wanavyo jaribu kumtongoza mke wangu.
Pili imenisaidia kurudisha ktk familia viwanja vitatu alivyonunua mke wangu pasi na mimi kujua.
Huu ndio ujinga ninaoukimbia mimi, mapenz ni starehe, mapenz ni raha badala ya kuwa raha ndio iwe karaha!! Upuuzi gani huu, sasa nisishike simu ya mwenzangu ndio nikashike ya nani, hapa nyeusi ni nyeusi, hakuna haja ya nyeus kuisingizia weuoe usio wake..Hayo ndiyo maamuzi ya kiume. Hautakiwi kuogopa mapenzi bali mapenzi ndiyo yakuogope wewe. Ukiishi maisha hayo utakuwa na raha sana na wengi wanaishi maisha ya raha ni wale ambao hawakumbatii mapenzi. Utakuta mtu hata kushika simu ya mkewe anaogopa.
Nimekukubali sana. Huo ndiyo uanaume. Haifai hata siku mmoja mwanaume kulilia mapenzi
Hakuna cha sukari wala chumvi!! Nyie tu na hofu yenu kwenye mapenzi!!Unataka kufa kwa sukari mkuu.
Sawa mkuu!Ulivyoandika wewe kwa mtu ambaye hajui ataona rangi kwa sababu inatumika emai address ya targeted phone wengi wanafikili itatumika password ya iyo email address.
Calls zilizopigwa unapata mkuu so kwamba unaweza kupokea .. email ya mhusika unayetaka upate mawasiliano yake .mh yaani kama ningekuelewa ningefurahi mzee
email ya nani ?
how unaweza pata normal call kwa njia ya email au hata sms
weka sawa hapo
Yap ndo maana yangu boss hutojuta mm nina mpenzi wangu huwa natumia njia hii msingi usiwe na moyo mwepesiMkuu japo sijafanya ila naamini anamaanidha hivi!!
Ile application inakuwa kwenye simu ya muathirika, email yake inakuwa ipo pale so inakusanya habari zote katika simu ile!!
We unapokuja kulog in huku taarifa zake zote unakuwa nazo wewe... kifupi hiyo app inakuwa inakusanya habari zooote inaweka kumbukizi, so email inakuwa inakupa uwezo wa kuingia katika ile account ikiyohifadhiwa hayo mambo
Sijui kama nimeelewa sahihi!!
Email ni ile ya kwenye playstore, ambayo ndio inakuwa account kuu!!hiyo email ni ya play store au maana hapa tatizo lipo hapo au brother unaweza kuchukua email ya mtu bila password
Niweke sawa hapo
Wewe ni mpuuzi kutoa helaNiliwahi kumfuatilia dem wangu moja, nikimwangalia ni mwaminifu sana. Lakini ni nilipoanza kumchunguza nilikuta madudu mengi. Nilitumia njia ya rafiki yake wa karibu sana nilimlipa pesa.... Mtu unaempenda alafu ukamkuta na madudu inauma sana.
EeeeeAnakuheshimu ?, anakupenda??? Anapenda ndugu zako?, kama jibu ndio oa hizo story za kudukuana ni mambo ya hovyohovyo
Usiwaze mzee mwenzangu, sina kamoyo kepesi.Yap ndo maana yangu boss hutojuta mm nina mpenzi wangu huwa natumia njia hii msingi usiwe na moyo mwepesi
ongera sana brother nimekuelewa kuna watu wa aina mbili duniaEmail ni ile ya kwenye playstore, ambayo ndio inakuwa account kuu!!
Kwa maelezo ya jamaa huitaji password zake, unaweka zako zozote, kifupi unakuwa kama umefungua account sasa ile email inakuwa inaruhusu data kubebwa na kuwekwa katika hiyo account ambayo utakuwa unasomea ww habari zako.
Poa chief!ongera sana brother nimekuelewa kuna watu wa aina mbili dunia
1.Wagumu kuelewa
2.Wasiojua kuelewesha (kufahamisha)
special kwa mtoa mada
Vipi mzee, kuificha mtumiaji wa simu asione ama inajificha automatically!?Hili ni bonge la app, mimi huwa nawachekaga tu rafiki zangu wanavyo jaribu kumtongoza mke wangu.
Pili imenisaidia kurudisha ktk familia viwanja vitatu alivyonunua mke wangu pasi na mimi kujua.