mugah di matheo
JF-Expert Member
- Jul 28, 2018
- 6,307
- 12,410
Lina kilo 310
Cc:CRI swahili
Cc:CRI swahili
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hfy tufkj fasktb hirizi ya nchi.Nini hilo?
Madini gani haya afu kina thamani gani tuone kama tuweza kwenda kuipiga
Elewa muktadha wa bandiko sio kila kitu lazima ujitoe ufahamu.not everything you read on internet is true, hakuna kito cha thamani kama maisha ya mwanadamu
haujaelewa muktadha wa comment yangu, kwa kifupi umekaza kichwa, haujui kuwa hicho kito hata kiwe na thamani gani kama hakuhusishwi na binadamu aliye hai basi ni ubatili. usikurupukeElewa muktadha wa bandiko sio kila kitu lazima ujitoe ufahamu.
Hapo nimekuelewa sema nilihitaji booster kama chànjo ya j&jhaujaelewa muktadha wa comment yangu, kwa kifupi umekaza kichwa, haujui kuwa hicho kito hata kiwe na thamani gani kama hakuhusishwi na binadamu aliye hai basi ni ubatili. usikurupuke