Tetesi: SSB wachukizwa na kauli ya Ahmed Ally kwa Mzee Jamal

Tetesi: SSB wachukizwa na kauli ya Ahmed Ally kwa Mzee Jamal

DrSisimizi

New Member
Joined
Jul 4, 2026
Posts
2
Reaction score
4
Chanzo cha kuaminika kimenipa taarifa kuhusu uongozi wa SBS kuchukizwa na kauli za Msemaji Simba Ahmed Ally kwa Mmiliki wa AZAM FC Mzee Jamal baada ya Mzee kudai TFF haiwatendei Haki.

Chanzo kimeniambia Mzee Jamal alitoa malalamiko kwa TFF ila wameshangazwa Ahmed kumkejeli Mzee Jamal ili hali kwenye malalamiko Mzee Jamal hakuitaja Simba.

Wamempa Demand Note aombe radhi bila wataiandikia barua kampuni yake (Simba SC) kuhusu kutoto ushirikiano kwa Ahmed Ally
 
1. Jamii Forum ni Credible source of Information.
2. Jamii Forum ni Home of great thinkers.
3. Ukileta habari jitahidi Habari yako iwe balanced ama inaeleweka.

Mfano Mzee Jamal alikuwa na Malalamiko gani
Na Ahmed Ally amemkejeli vipi ama kuptia chombo Gani?
Taarifa yako haijakamilika.

USITULETEE UMBEA
OTHERWISE KARIBU SANA JAMII FORUM.
 
Mtu akilala na njaa akiota ndoto za ajabu ajabu analeta hapa kama habari.
 
Back
Top Bottom