Wydad baada ya kumchapa Simba kimoja ni kama gari ilokataa kuwaka kwa masaa mengi kisha baadae ikapigwa start na kuwaka, hiyo tamaa ya kuanza safari ni kubwa saana, kwahiyo Simba aelewe kwamba anaenda kukutana na Wydad ambae ana shauku ya hali ya juu ya ushindi dhidi yao hapo J4.Simba wana asilimia chache sana za kuvuka hatua ya makundi msimu huu ukilinganisha na kaka yake Yanga! ambaye anatakiwa kushinda mechi zake mbili tu za nyumbani, halafu anatoa droo moja; tayari robo fainali.
Sio foward tu bali hata full backs hana, hakuna mkabaji n.kNa hakika anashinda
Simba hatoboi, this time hatoboi. Hakuna forward aggressive ambae anauchu na goli. Utaona wanakosa kosa magoli mengi sana hadi dakika 90 zinaisha kama ilivyokuwa mechi yao ya juzi
Hakika mkuu, anapasuka nyingi tu Taifa.Hawana ugumu
WΓ napigika
Hata ile game ya kwao. Ilionesha wazi wao ni kama simba iliyochangamka
Watakufa Tano
Nilisema ni mechi nyepesi kwa Simba, ila kesho Yanga atakuwa na shughuli pevu. Wale Medeama ni wa motoIla kwa viwango vya sasa, Medeama ni wagumu kuliko Wydad. Yanga ana mechi ngumu zaidi kuliko mechi ya Simba dhidi ya Wydad.