Wydad baada ya kumchapa Simba kimoja ni kama gari ilokataa kuwaka kwa masaa mengi kisha baadae ikapigwa start na kuwaka, hiyo tamaa ya kuanza safari ni kubwa saana, kwahiyo Simba aelewe kwamba anaenda kukutana na Wydad ambae ana shauku ya hali ya juu ya ushindi dhidi yao hapo J4.Simba wana asilimia chache sana za kuvuka hatua ya makundi msimu huu ukilinganisha na kaka yake Yanga! ambaye anatakiwa kushinda mechi zake mbili tu za nyumbani, halafu anatoa droo moja; tayari robo fainali.