Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 24,262
- 58,728
Wewe ulishindwa vp kumfunga waydad kwake na ulishindwa vp kumfunga yangaSawa
Bora Simba iliyofungwa 1-0 kuliko Yanga iliyofungwa 3-0 halafu ball possession ilikuwa mnaongoza ππππππ
- Kama Simba alitoka draw na Al Ahly na wewe uliifunga Simba goli 5. Ulishindwa vipi kuifunga Al Ahly?
- Kama mlifunga Simba goli 5, ilikuwaje mkafungwa 3-0 Algeria?
Kama hana jipya mlishindwa vipi kumfunga?Ahly alikaziwa taifa
Hakuwa na jipya
Kila timu changa ina ndoto ya kuifunga Simba ndiyo maana ushindi unaukumbukwa ni wa kuifunga SimbaGoli goli tu wewe hauna hoja ndo maana viburi vyenu mkala chuma 5
Wamesahau afu povu lote hili la nini? maumivu yakizidi mwone Dr Mkandaji [emoji28]Kama Simba tu meifunga mpk leo hii mnaukumbuka ushindi ili hali mashabiki wa Simba wamesahau.
Kwa mfano mngeifunga Al Ahly, Wydad, Mamelod au Al Hilal hizo bao 5? Mngefanya bonge la sherehe na ingekuwa mapumziko ya wiki nzima kukumbuka ushindi
Mngekuwa bora sana kuliko Simba msingefungwa 3-0 na Bulzadad Algeria [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Unaniuliza Mimi muulize pacomeKila timu changa ina ndoto ya kuifunga Simba ndiyo maana ushindi unaukumbukwa ni wa kuifunga Simba
Kwa mfano hizo chuma 5 angekula Al Ahly, ingekuwaje siku hiyo?
Kila timu changa ina ndoto ya kuifunga Simba ndiyo maana ushindi unaukumbukwa ni wa kuifunga Simba
Kwa mfano hizo chuma 5 angekula Al Ahly, ingekuwaje siku hiyo?
Ndio...Tuige usaji kama wa Kon kon
Wazee ndio wenye Simba huwezi kuwaondoa, wengine kina 'sisi' ni mashabiki na wanachama tuYanga sio changa acha denial
Hata ukija sasa hivi tunakugonga tena na huna la kufanya hadi muachane na hao wazee wenu
Dah kweli kwa sajili hiziSSC mnatakiwa kuona namna ambavyo Dar Young Africans wanavyocheza, ni kazi nzuri ya Hersi Said, Injinia.
Kaeni nae chini awape mbinu.
Hata yeye alijifunza kutokana na mafanikio SSC ya kipindi hicho chini ya kina Hans Pope, akajifunza pia namna ya kulobby kupitia kina barbara. Now ni masterminder wa kulobby na sajili za kimkakati, a silent killer.
Jamaa ameshaona sajili za youtube na ten percent hazina ishu tena na anasikiliza kile ambacho kocha ameshauri.
Mkitaka kuona tofauti ya Hersi Said, Injinia na vichwa maji vya msimbazi subirini muone usajili wa dirisha dogo. Mtaelewa what I mean .
Kaeni chini na Hersi Said, Injinia awafundishe namna ya kufanya sajili za kimkakati. Leo hii hata game ikirudiwa, SSC inatobolewa kirahisi tu. Ukuta wa Yanga upo imara, Ukuta wa SSC hauwezi kumzuia Aziz Q, Pacome Misonda etc
Over 5 years mmecheza robo fainal, SSC hamjawahi kucheza nje ya hapoβ¦.. a big comfort zone of SSC.
I bet ,Yanga akichomoka group stage , mtamuokota nusu fainal ya CAF , anacho kikosi cha kufanya hivo, na itakuwa ni aibu yenu SSC kutuaminisha for 5 years mfululizo kuwa robo fainal ndio mpango mzima. Shirikisho mnaishia robo fainal na kufa kiume, Yanga akavunja huo mwiko. CAFCL nayo mnaishia robo, na Yanga ndio atavunja huo mwingi this time.
Hongera Hersi Said, Injinia kwa kazi nzuri, kwanza inayoanzia kwenye usajili ambao sio mchongo, hao wengine waache waamini kwenye kupuliza ndumba na kina manula wao.
Wewe fanya kazi, kijana mtanashati, smart and intelligent hakuna mambo ya kuweka tumbo mbele, fundisha hayo mazee ya msimbazi namna ya kufanya kazi as a smart young guy .
Naamini Yanga atacheza nusu fainal, SSC Muishie makundi, maana hata mkitoboa hamtakuwa na impact yoyote, mtakuja kutuambia tu mmekufa kiume.
Tumechoka kusikia huo upupu over 5 years .
Hajielewi hyo Eden hazard ameenda Madrid kilichomkuta anajuta yaani mtu hawezi kuamini kwamba Kevin the bryne na Salah walipita Chelsea jinsi walivyo sasa hivi sometimes usajili ni kamari you can win or lose the battle.Usajiri ni kamali hata timu kubwa kama real madrid, maan U man City, arsenal pia zinafeli kwenye usajiri mfano haaaataaaa injinia pia amfeli kwa konkoni, skudu, ngushi, metacha, na yule kipa mwingine
Beki la chan wameliuza sporting LisbonBeki la CHAN liko wapi sasahivi?
Beki la chan wameliuza sporting Lisbon
Na jana ndio ushindi wao wa kwanza katika mashindano ya Caf champions leagueHizo ni timu tishio kwa Yanga tu kwa Simba ndiyo tunawataka hao kama Al Ahly, Mamelody, Wydad, Al Hilal na timu kubwa ili tujue tumefanikiwa kivipi kisoka. Yanga imechukua miaka 25 kuingia kwenye makundi ya champion League kwahiyo bado watoto.
Yanga ukiwauliza ni timu gani kubwa ambayo umeifunga watakuambia TP Mazembe, uliifunga ulikutana nayo wapo watakuambia shirikisho [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Yanga wanatamani wacheze hata na Ndanda kama inawezekana ili waingie fainali ya Champion League. Al Ahly anawasubiri kwao[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Na jana ndio ushindi wao wa kwanza katika mashindano ya Caf champions league
Siwezi kuumia mimi labda wewe unayeenda airport kuwapokea wageni wanaokuja kucheza na mnyama.View attachment 2849002
Kumbe roho ilikuuma
Mnyama huyo ambae kala goli 5 mnyama mashabiki zake lialia mnyama mangungu hatumtaki mnyama unyama ni mwingi kupigwa 5 mnyamaSiwezi kuumia mimi labda wewe unayeenda airport kuwapokea wageni wanaokuja kucheza na mnyama.
Pia wanatafuta makocha ambao wamewahi kuifunga Yanga miezi au miaka ya karibu.Simba hufuatilia tetesi kuwa Yanga wanataka kumsajili mchezaji gani ndipo wanamfuata. Scouting team ya Simba ni ya hovyo sana.
Hajielewi hyo Eden hazard ameenda Madrid kilichomkuta anajuta yaani mtu hawezi kuamini kwamba Kevin the bryne na Salah walipita Chelsea jinsi walivyo sasa hivi sometimes usajili ni kamari you can win or lose the battle.