DogoWaNjombe
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 3,284
- 7,708
Sehemu ya majibu ya SSP Notker Kilewa wakati akihojiwa na Mwandishi wa Habari wa BOMBA FM ya MBEYA, MC Kamendu, ambapo alimuuliza “Ikiwa msafara wa Rais unapita na gari la Wagonjwa liko njiani kwa wakati mmoja, nani anapewa kipaumbele?” Mahojiano hayo yamefanyika Machi 17, 2026.
======================
Mtangazaji wa Kituo cha Bomba FM cha Mbeya, amefanya mahojiano na Jeshi la Polisi Kitengo cha Usalama Barabarani Mkoani Mbeya.
Maafisa wa Polisi waliofika studio na kuhojiwa Machi 17, 2026 ni SSP Notker Kilewa – Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani Mkoa wa Mbeya, Staff Sajent Ahiju Kejo pamoja na Sajent Sharisho Mwita kutoka Ofisi ya Usalama Barabarani Wilaya ya Mbeya Mjini.
Katika mazungumzo yao wamegusia kwa kina mada ya Leseni za Udereva
✔️ Umuhimu wake
✔️ Namna ya kuipata
✔️ Aina mbalimbali za leseni
CHANZO: BOMBA FM, MBEYA