Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Tunatuma na mikoani[emoji39] mikoani mnatuma?
Sawa sawaTunatuma na mikoani
InawezekanaHivi inawezekana kutengeneza keki ambayo haina sukari nyingi/haina kabisa?
Inafika ikiwa uji ama ungaunga na sisimizi wanavyopendaga sifa wanaila mpk wanafiamo..😂😋 mikoani mnatuma?
Can you make something with alcohol inside...?Inawezekana
Kuna recipe mbalimbali kulingana na mteja anavyotaka.
Kuna mwingine anataka sukari kidogo sana,nampikia kwa kutumia recipe ya sukari kidogo.
Mwingine anataka sukari nyingi
Nampikia recipe yenye ratio kubwa ya sukari.
Mwingine hataki mayai mengi
Naye hivyovivyo.
Labda kwenye kudecorate tukuwekee bia namna hii.Can you make something with alcohol inside...?
Nataka iwe kwenye keki mtu akila alewe Kuna mtu anajifanya mlokole kwenye birthday yake nataka nikamchangamshe atufanyie vituko kidogo...Labda kwenye kudecorate tukuwekee bia namna hii.View attachment 2746601View attachment 2746603
DaahNataka iwe kwenye keki mtu akila alewe Kuna mtu anajifanya mlokole kwenye birthday yake nataka nikamchangamshe atufanyie vituko kidogo...
Icing sugar ni ileileHiyo icing sugar unaweza kuweka yenye sukari kiduchu? Kwanini zinakuaga na sukari nyingi sana?