Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
- Thread starter
- #41
Sijawai hata kujarib kupamba, maana sijajua vifaa vinavyo hitajika ni vip na vipi,[emoji18] ila natamani sana nijifunze
Vifaa muhimu kuwa navyo wakati wa kupamba ni hivi;
Turning table
Screpa/Spatula ama vyote.
Piping bag
Nossel/Nozzle
Base
Rangi.
Ladha
Vinginevyo;
Sprinkles/vipipi
Vitana
Vipepeo
Balls
Cheni
Na madude kibao kulingana na unavyotaka cake iwe.
Ingredients za buttercream
Icing sugar 1box ambayo ni 500g
Prestige/blueband/kimbo/ Mo mpishi 100g
Vinegar
Maji kiasi
Ladha.