Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii ni sh.ngapi mkuu?
Ila punguzeni sukari jamani, keki za siku hizi masukari yanawekwa mengi mpaka inachosha.Hello wateja wangu wazuri,![]()
Karibuni mjipatie cake nzuri,tamu,zinazopendeza kwa ajili ya matukio mbalimbali kama birthday, graduation, harusi, engagement kitchen party etc.
Cake zetu bei ni rafiki, zinaanzia 15,000/- na kuendelea.
Small package foundant decorated cake 15,000/-
Ukitaka yenye sukari chache unapata Mkuu.Ila punguzeni sukari jamani, keki za siku hizi masukari yanawekwa mengi mpaka inachosha.
Elfu 6Hii ni sh.ngapi mkuu?
Jamani jamani wadadaKama kuna mwanamke ana birthday 28/11/ na anapenda nimnunulie keki please aje inbox.
Mkuu,ulimaanisha kama hii??Keki ya Matunda peke yake unaweza tengeneza na bei shi ngapi??
Nshawahi ionja mahali, yaan inaonekana keki kabisa kama hizi zingine ila ni muumganiko kwa Matunda tuu
Karibu MkuuKeki nishapata, ngoja sasa nikatafute mchumba[emoji847]
Nanunua keki afu namchukua muuza keki kabisa tuikate nae siku hiyo🤗Karibu Mkuu
Niungishe ule hata wewe mwenyewe.
Unaruhisiwa hata kuninunulia MkuuNanunua keki afu namchukua muuza keki kabisa tuikate nae siku hiyo🤗
Will you?
I meant kumuoa muuza kekiUnaruhisiwa hata kuninunulia Mkuu
Mungu akubariki sana
Muuza keki tayari alishaolewa.I meant kumuoa muuza keki
Sina jirani aliyezaliwa 28/11/Jamani jamani wadada
Hakuna anayetaka kununuliwa cake?
Ofa hiyo [emoji23].
Nunua tu Mkuu,
Wapelekee hata majirani.