St A Cakes: Pata cake tamu, mchambuko kwa bei poa

St A Cakes: Pata cake tamu, mchambuko kwa bei poa

Achana na kibuti cha valentine's month, nilipata shemeji flani nae kaleta majanga September kuingia October.
Alikaa ndani days jumapili iliopita na hii ndio katoka kwenda kanisani. Wasiojua story mtaani wakimuulizia tunasema kasafiri mkoa vacation kumbe mtu yupo ndani. Alikonda sema sahivi amerecover.
Nashangaa anataka cake ya engagement, ndio nashangaa sasa mi ninja nisijue engagement yake au.
What a sad story.
 
IMG_20231028_214414_533.jpg
IMG_20231028_200943_512.jpg
 
Mwanamke anaejua kupika keki huyo anafaa kuwa mke kwani ana vigezo.
Wengine lolote liwakute mpaka mjifunze kupika keki
[emoji23][emoji23][emoji23]
Ni hobby tu Mkuu.

Kuna watu hawajui cake,ila ni wazuri sana kwenye mapishi ya vitu vingine.
 
Keki ya Matunda peke yake unaweza tengeneza na bei shi ngapi??
Nshawahi ionja mahali, yaan inaonekana keki kabisa kama hizi zingine ila ni muumganiko kwa Matunda tuu
Ya matunda

Labda ya passion.

Ndani yake kunawekwa passion..
Pia wakati wa kupamba,pale juu inamwagiwa passion.


Ama keki ya kawaida ambayo katika upambani wake kunawekwa pia matunda kama strawberry,Na matunda mengine.
 
Hello wateja wangu wazuri[emoji4],
Karibuni mjipatie cake nzuri,tamu,zinazopendeza kwa ajili ya matukio mbalimbali kama birthday, graduation, harusi, engagement kitchen party etc.

Cake zetu bei ni rafiki, zinaanzia 15,000/- na kuendelea.

Small package foundant decorated cake 15,000/-

Buttercream decoration prices;-
500g simple decorated cake 20,000/- ,standard decoration 25,000/-
750g cake 25,000/-
1kg cake 30,000/-
1.5 kg cake 35,000/-
2kg cake 40,000/-
Etc...

Karibuni sana,
Delivery ni gharama za nauli tu kulingana na sehemu ulipo.

Tupo Mbezi mwisho
+255 787 530 827(Whatsapp itapendeza zaidi)

View attachment 2746526
Mbona black forest hauweki?
 
Back
Top Bottom