Dr hyperkid
JF-Expert Member
- Jun 7, 2019
- 12,679
- 25,646
aisee hongera banaNi mtama
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
aisee hongera banaNi mtama
Asante sana.aisee hongera bana
Nice one!! Looks Yummy too. Na decoration on point - Simple yet elegant! Siku nitaagiza. Congrats!!
AsanteNice one!! Looks Yummy too. Na decoration on point - Simple yet elegant! Siku nitaagiza. Congrats!!
Mwanamke anaejua kupika keki huyo anafaa kuwa mke kwani ana vigezo.
Ebu nipishe. Si umeachika ata mwezi haujaisha. Ebu punguza speed hadi mwakani.Ya engagement nataka😊😎
Kumbe ameachika mwezi huu? Aisee.Ebu nipishe. Si umeachika ata mwezi haujaisha. Ebu punguza speed hadi mwakani.
Bora nimtengezee dogo wako ya birthday yake next week.
Anatusumbua mtaani hapa na status zake WhatsApp za akinipenda mama inatosha.Kumbe ameachika mwezi huu? Aisee.
😂 Dadeki, so kaachwa mwezi huuhuu, maana aliweka uzi humu kuwa aliachwa miezi ya mwanzoni, sikumbuki ila mwaka huu.Anatusumbua mtaani hapa na status zake WhatsApp za akinipenda mama inatosha.
Aisee labda kuna mtu anaye anamficha ama? Sasahivi kaenda church?Achana na kibuti cha valentine's month, nilipata shemeji flani nae kaleta majanga September kuingia October.
Alikaa ndani miezi jumapili iliopita na hii ndio katoka kwenda kanisani. Wasiojua story mtaani wakimuulizia tunasema kasafiri mkoa vacation kumbe mtu yupo ndani. Alikonda sema sahivi amerecover.
Nashangaa anataka cake ya engagement, ndio nashangaa sasa mi ninja nisijue engagement yake au.
Aisee nikadhani kadada chetu ni kapole kumbe ni wa moto hivi.Nimempita na boda mida ya saa 4 na nusu wanarudi na maza. Na kigauni chake cha kitenge. Life is not fair kabisa.
Very innocent. Mpole sana. Sema ndio hana bahati.Aisee nikadhani kadada chetu ni kapole kumbe ni wa moto hivi.
Very innocent. Mpole sana. Sema ndio hana bahati.
Bro ni hatari sana, au ana mambo mengi? Maana kuachwa two times au inawezekana zaidi ya hapo, hakuna shida kweli?Very innocent. Mpole sana. Sema ndio hana bahati.
Nisije ongea yote. Ngoja tumuache apumzike.Bro ni hatari sana, au ana mambo mengi? Maana kuachwa two times au inawezekana zaidi ya hapo, hakuna shida kweli?
Pamoja bro.Nisije ongea yote. Ngoja tumuache apumzike.
Turudi kwenye cake za dada St Anne.
Swali la mwisho, kwanini umesema life is not fair kabisa?Nimempita na boda mida ya saa 4 na nusu wanarudi na maza. Na kigauni chake cha kitenge. Life is not fair kabisa.