Chuo kikuu cha mtakatifu Agustino mwanza kina mpango wa kutimua watoto wote masikini, hii ni baada ya kupandisha faini ya waliochelewa kujisajili kwa asilimia 1000%, mwanzoni ilikuwa 10000 kwasasa ni 100000/= na kwamba asiyetoa hatafanya mitihani ilhali wanafahamu wengi wa wanaochelewa kulipa ada hiyo ni watoto wa masikini hawa jamaa wanaendesha watu wanavyotaka serikali iko wapi?