St Augustine university kutimua watoto wa masikini

Kada Deya

Senior Member
Joined
Nov 8, 2011
Posts
152
Reaction score
47
Chuo kikuu cha mtakatifu Agustino mwanza kina mpango wa kutimua watoto wote masikini, hii ni baada ya kupandisha faini ya waliochelewa kujisajili kwa asilimia 1000%, mwanzoni ilikuwa 10000 kwasasa ni 100000/= na kwamba asiyetoa hatafanya mitihani ilhali wanafahamu wengi wa wanaochelewa kulipa ada hiyo ni watoto wa masikini hawa jamaa wanaendesha watu wanavyotaka serikali iko wapi?
 
Kama ni kweli hawa RC nao wanakosa HURUMA kama mafundisho ya Yesu yanavyosema.
Ninajua umuhimu wa kuweka faini kwa wale wote wanaochelewa kulipia hudma yeyote ile.
Huwa tunalipa faini tunapochelewa ku-renew motor vehicle licence kodi za majengo na viwanja
etc lakini faini ya 1000% is an imaginable.

Tunaomba uongozi wa SAUT uwahurumie na kuwapenda hao watoto wa masikini kama
yalivyo mafundisho ya Yesu Kristo.
 
Tuanze na serikali ambayo inashindwa kujali watu wako wanaolipa kodi na kuwapigia kura.
 
cHiii ni kweli kabisaa mdogo wangu yupo pale second year alinistua sana aliponiambia alikua anadaiwa laki moja lakini alipokwenda kulipa wakamwambia atoe laki mbili kwa sababu amechelewa!!! Jaman mhasham Askof Rwaichi uko wapi???? this is totally unfair.
 
Siwezi kuwalaumu RC kwani wanafanya hivyo ili wanafunzi waone uovu na dhambi za serikali yao.
 
kwa nini wachelewe? Hilo ndilo tatizo la watanzania. Watangazie jambo la msingi leo na uwaambie mwisho ni tar 30/11/2011, utaona mijitu inajazana kuanzia tar 28. Nini maana ya semester? Wakawaulize waliosoma seminari ndo watajia nini maana ya punctuality
 
Wanafunzi wengi wanategemea hela za bodi ya mikopo kulipia michango chuo sasa chuo kilifunguliwa september bodi wameto fedha za wanafunzi lkuanzia late october na mpaka sasa bado wanaendelea !!! Chua kilitangaza deadline during the first two weeks sasa ungetegemea huyu mtoto wa mkulima ambaye mzazi wake kazuiliwa kuuza mahidi nje ya nchi kwenye bei nzuri atoe wapi fedha za ku meet hiyo deadline!!! jaribu kujiweka nafasi ya mtoto maskini ndo utajua,
 
  • Thanks
Reactions: Nzi

tuache unafiki kwa wale ambao hajapata mkopo na waliokuwa wanategemea pesa ya bodi kulipia ada ya kujisajili walivumiliwa na wakalipa na wale ambao bado bodi ya mikopo haijawalipa bado wanaendelea kuvumiliwa hadi hapo watakapopata pesa zao... Na kama wamepigwa ikiwa wana'case zfananazo na nilizoorodhesha hapo juu basi itakuwa hawajaujulisha uongoz wa chuo matatzo yao.
 
We ndo mnafiki mwanafunzi aliyenipa taarifa hizo ni mtu wa karibu sana na mimi na alikua ananiomba nimchangie hiyo penalt ya kuchelewa kulipa ada ilihali ndo mkopo wake ulikua umetoka bodi!!! labda kama wamebadilika jana but hadi kufikiaa ijumaa walikua bado na msimamo huo huo!!! ukitaka ushahidi zaidi tutakupa majina ya wanafunzi hao,tarehe walizopata mkopo,na tarehe walizokwenda kwa wahasibu kukamilisha madeni yao lakini wakatakiwa kulipia penalt..
 
chuo kikuu cha mtakatifu agustino mwanza kina mpango wa kutimua watoto wote masikini, hii ni baada ya kupandisha faini ya waliochelewa kujisajili kwa asilimia 1000%, mwanzoni ilikuwa 10000 kwasasa ni 100000/= na kwamba asiyetoa hatafanya mitihani ilhali wanafahamu wengi wa wanaochelewa kulipa ada hiyo ni watoto wa masikini hawa jamaa wanaendesha watu wanavyotaka serikali iko wapi?

umaskini siyo sifa, na wala siyo kinga ya kutofuata taratibu siye sote tumehangaika sana ktk harakati za kujitafutia elimu lakini shida na matatizo yetu hatuweka kwenye rambo nyeupe ili kila mtu aone
 
Usulaumu mtu anayekukumbusha ulichotakiwa kufanya. Laumu mtu aliyesababisha ushindwe kutimiza wajibu wako kwa muda. Laumu serikali ya magamba ambayo imetufikisha hapa...tuipige mawe kwani sasa tumeelewa chanzo ni nini!
 
Siwezi kuwalaumu RC kwani wanafanya hivyo ili wanafunzi waone uovu na dhambi za serikali yao.

Tusitumia kila kitu kama mtaji wa kisiasa, ni kweliserikali ina uovu na dhambizake lakini hayo hayawezi kuwa justified kwa RC kupandisha fine kwa 1000%
 
Usulaumu mtu anayekukumbusha ulichotakiwa kufanya. Laumu mtu aliyesababisha ushindwe kutimiza wajibu wako kwa muda. Laumu serikali ya magamba ambayo imetufikisha hapa...tuipige mawe kwani sasa tumeelewa chanzo ni nini!

Kuto timiza wajibu wa muda hakuna ususiano na kupandisha faini kwa asilimia 1000%, kumbuka SAUT kuna registration ya kila mwaka about 365,000/= from 1st year to last year ambayo bodi ya mikopo haitambui, unapaswa kujilipia mwenyewe. So kama mtu amechelewa kuliba basic hiyo addition ataitoa wapi?
 
umaskini siyo sifa, na wala siyo kinga ya kutofuata taratibu siye sote tumehangaika sana ktk harakati za kujitafutia elimu lakini shida na matatizo yetu hatuweka kwenye rambo nyeupe ili kila mtu aone

Nakubaliana na wewe umasikini sio sifa, lakini kumbuka kuwa hakuna anayeutaka, vyuo vyetu vilenge kutoa huduma ya kitaaluma katika nchi yetu, si kutumia matatizo ya wanafunzi kama vyanzo vipya vya mapato. Sasa kama hiki chuo cha kanisa kinaanza kutoza hivi tutegemee nini kwenye vyuo binafsi.
 
tuache unafiki kwa wale ambao hajapata mkopo na waliokuwa wanategemea pesa ya bodi kulipia ada ya kujisajili walivumiliwa na wakalipa na wale ambao bado bodi ya mikopo haijawalipa bado wanaendelea kuvumiliwa hadi hapo watakapopata pesa zao... Na kama wamepigwa ikiwa wana'case zfananazo na nilizoorodhesha hapo juu basi itakuwa hawajaujulisha uongoz wa chuo matatzo yao.

Pole sana ndugu, huna taarifa ya nini kinaendelea research first sio unaropoka tu kama umetumwa.
 
kwa nini wachelewe? Hilo ndilo tatizo la watanzania. Watangazie jambo la msingi leo na uwaambie mwisho ni tar 30/11/2011, utaona mijitu inajazana kuanzia tar 28. Nini maana ya semester? Wakawaulize waliosoma seminari ndo watajia nini maana ya punctuality

Kumbuka watu wanauwezo tofauti si kila mtu ana uwezo kuna watu hivi tunavyoongea hawana hata 200 mfukoni
 
ahaaa apo wanatupa somo na mwisho wa siku wakianza kupata wanafunz wachache wasilaum mtu wala tcu
 
Back
Top Bottom