kwa nini wachelewe? Hilo ndilo tatizo la watanzania. Watangazie jambo la msingi leo na uwaambie mwisho ni tar 30/11/2011, utaona mijitu inajazana kuanzia tar 28. Nini maana ya semester? Wakawaulize waliosoma seminari ndo watajia nini maana ya punctuality
Wanafunzi wengi wanategemea hela za bodi ya mikopo kulipia michango chuo sasa chuo kilifunguliwa september bodi wameto fedha za wanafunzi lkuanzia late october na mpaka sasa bado wanaendelea !!! Chua kilitangaza deadline during the first two weeks sasa ungetegemea huyu mtoto wa mkulima ambaye mzazi wake kazuiliwa kuuza mahidi nje ya nchi kwenye bei nzuri atoe wapi fedha za ku meet hiyo deadline!!! jaribu kujiweka nafasi ya mtoto maskini ndo utajua,
tuache unafiki kwa wale ambao hajapata mkopo na waliokuwa wanategemea pesa ya bodi kulipia ada ya kujisajili walivumiliwa na wakalipa na wale ambao bado bodi ya mikopo haijawalipa bado wanaendelea kuvumiliwa hadi hapo watakapopata pesa zao... Na kama wamepigwa ikiwa wana'case zfananazo na nilizoorodhesha hapo juu basi itakuwa hawajaujulisha uongoz wa chuo matatzo yao.
chuo kikuu cha mtakatifu agustino mwanza kina mpango wa kutimua watoto wote masikini, hii ni baada ya kupandisha faini ya waliochelewa kujisajili kwa asilimia 1000%, mwanzoni ilikuwa 10000 kwasasa ni 100000/= na kwamba asiyetoa hatafanya mitihani ilhali wanafahamu wengi wa wanaochelewa kulipa ada hiyo ni watoto wa masikini hawa jamaa wanaendesha watu wanavyotaka serikali iko wapi?
Siwezi kuwalaumu RC kwani wanafanya hivyo ili wanafunzi waone uovu na dhambi za serikali yao.
Siwezi kuwalaumu RC kwani wanafanya hivyo ili wanafunzi waone uovu na dhambi za serikali yao.
Usulaumu mtu anayekukumbusha ulichotakiwa kufanya. Laumu mtu aliyesababisha ushindwe kutimiza wajibu wako kwa muda. Laumu serikali ya magamba ambayo imetufikisha hapa...tuipige mawe kwani sasa tumeelewa chanzo ni nini!
umaskini siyo sifa, na wala siyo kinga ya kutofuata taratibu siye sote tumehangaika sana ktk harakati za kujitafutia elimu lakini shida na matatizo yetu hatuweka kwenye rambo nyeupe ili kila mtu aone