Troll JF
JF-Expert Member
- Feb 6, 2015
- 7,804
- 12,237
Hivi hiki chuo kinafundishaga nini Jamani? Kuna jamaa wako watano tunapiga nao discussion kwa ajili ya ku sit CPA lakini jamaa ni vilaza kweli yaani wamenizidi GPA mbaliii halafu Vitu vingi vya CPA hawavijui yaani Kila Topic nawapigia hata hivyo ni shida kuelewa sasa Natambua Umuhimu wa Vyuo vya Serikali havipo kwa ajili ya Kuchukua Ada tu....Hawalegezi mtihani hawa watu.......
Mhitimu ana GPA ya 4.4 mfano Somo ambalo linaitwa Management Accounting Now kwenye CPA linaitwa Performance Management ana A lakini hakuna hata anachokiweza sasa nakua najiuliza Waalimu wa St Augustine wanafundisha maneno tuu au kwa sababu calculation zinawashinda kweli! .
Chuo Kina wanafunzi wengi sana lakini kwenye institutional performance za CPA hakipo hata top 10. ni hatari kila siku ni UD, IFM, MZUMBE, AIA,MOCU,UDOM, ARDHI TIA, ZANZIBAR STATE UNIVERSITY, Kuna kachuo ka Ushirika huko moshi kadogo ila ka kitambo Kile ndo huwa Individual prize wanachukua ndo kinachuana na UD, IFM na ARDHI . UD itaendelea kuwa baba big up to UDOM mnafanya vizuri, Mzumbe pia mnajitahidi kwenye Paper za board AIA kama kawa chuo kigumu sana IPA mnawakilisha ipasavyo, IFM mko vizuri kazeni Buti
Did I mention St. Augustine i think no room for Stupid people in CPA!
Hawa jamaa wamesababisha nikichukie hicho chuo kiasi kwamba Watoto wangu na Kizazi Changu hawatasoma hapo halafu kwenye Ma vyeti yao wamesoma Course hadi 12 yote amepata A Wakati jamaa ni vilaza mimi nimesoma course 5 hadi 6 lakini ufaulu wangu uko kwenye GPA ya 3.5 ndiyo nawafundisha hawa jamaa wenye FIRST CLASS za Kikuda.
Watu waliokua Wamekata Tamaa Ndiyo Wamesoma SAUT Kuna house girl mmoja Alisoma QT akaja Sekondary Akafeli aka resat mara nne akapata 3 credits akaenda Advance huko alidunda aka resat mtihani akapata division III-17 Sasa hivi amemaliza SAUT akiwa na FIRST CLASS.
Hajawahi kupata hata sap kweli SAUT Matapeli wa Ada za watu cha ajabu yule dada bado hajaajiriwa labda anafukuzia awe Tutorial wa SAUT.