St. Augustine University of Tanzania

St. Augustine University of Tanzania

Status
Not open for further replies.

Troll JF

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2015
Posts
7,804
Reaction score
12,237
Hivi hiki chuo kinafundishaga nini Jamani? Kuna jamaa wako watano tunapiga nao discussion kwa ajili ya ku sit CPA lakini jamaa ni vilaza kweli yaani wamenizidi GPA mbaliii halafu Vitu vingi vya CPA hawavijui yaani Kila Topic nawapigia hata hivyo ni shida kuelewa sasa Natambua Umuhimu wa Vyuo vya Serikali havipo kwa ajili ya Kuchukua Ada tu....Hawalegezi mtihani hawa watu.......

Mhitimu ana GPA ya 4.4 mfano Somo ambalo linaitwa Management Accounting Now kwenye CPA linaitwa Performance Management ana A lakini hakuna hata anachokiweza sasa nakua najiuliza Waalimu wa St Augustine wanafundisha maneno tuu au kwa sababu calculation zinawashinda kweli! .

Chuo Kina wanafunzi wengi sana lakini kwenye institutional performance za CPA hakipo hata top 10. ni hatari kila siku ni UD, IFM, MZUMBE, AIA,MOCU,UDOM, ARDHI TIA, ZANZIBAR STATE UNIVERSITY, Kuna kachuo ka Ushirika huko moshi kadogo ila ka kitambo Kile ndo huwa Individual prize wanachukua ndo kinachuana na UD, IFM na ARDHI . UD itaendelea kuwa baba big up to UDOM mnafanya vizuri, Mzumbe pia mnajitahidi kwenye Paper za board AIA kama kawa chuo kigumu sana IPA mnawakilisha ipasavyo, IFM mko vizuri kazeni Buti

Did I mention St. Augustine i think no room for Stupid people in CPA!

Hawa jamaa wamesababisha nikichukie hicho chuo kiasi kwamba Watoto wangu na Kizazi Changu hawatasoma hapo halafu kwenye Ma vyeti yao wamesoma Course hadi 12 yote amepata A Wakati jamaa ni vilaza mimi nimesoma course 5 hadi 6 lakini ufaulu wangu uko kwenye GPA ya 3.5 ndiyo nawafundisha hawa jamaa wenye FIRST CLASS za Kikuda.

Watu waliokua Wamekata Tamaa Ndiyo Wamesoma SAUT Kuna house girl mmoja Alisoma QT akaja Sekondary Akafeli aka resat mara nne akapata 3 credits akaenda Advance huko alidunda aka resat mtihani akapata division III-17 Sasa hivi amemaliza SAUT akiwa na FIRST CLASS.

Hajawahi kupata hata sap kweli SAUT Matapeli wa Ada za watu cha ajabu yule dada bado hajaajiriwa labda anafukuzia awe Tutorial wa SAUT.
 
saut wanachukua reject za public universities.angalia entry qualifications za vyuo husika.
 
Hivi hiki chuo kinafundishaga nini Jamani? Kuna jamaa wako watano tunapiga nao discussion kwa ajili ya ku sit CPA lakini jamaa ni vilaza kweli yaani wamenizidi GPA mbaliii halafu Vitu vingi vya CPA hawavijui yaani Kila Topic nawapigia hata hivyo ni shida kuelewa sasa Natambua Umuhimu wa Vyuo vya Serikali havipo kwa ajili ya Kuchukua Ada tu....Hawalegezi mtihani hawa watu.......

Sifa za kitoto. Kama unapiga nao discusion si uwasaidie. Hayo mengine ya ubora wa chuo ni bora uyapeleke TCU badala ya kuyaleta hapa JF.
 
Wewe ni mbumbumbu kweli,hao mijamaa unaowataja hapo ndo sample yako ya kutolea hukumu?basi na mm nasema sababu wale maaskofu wawili watatu wakatoliki walichukua pesa za escrow basi maaskofu wote wako corrupt.
 
Hawa wat husoma koz mpaka 14 kwa semista halaf weng ni A na plas, A inaanzia 80 C yao 50,Maajab mengine ya dunia!
 
Tuwe wakwel ni wat wangap wanaweza kusoma koz 14 ktk vyuo vya UD,UDOM,MHAS,ARDH,MZUMBE & SUA wakapata A nying kama STs
 
Mtu mmesoma nae unamjua fika ukilaza wake,ameomba vyuo vya serikar amekosa,anakwambia nipo SAUT,Nasoma koz 14 nina A 7!!
 
Eti mtu kama huyu nae aje awe Manager!!! Una element za kizamani sn ndg.

Selection ni TCU, cutting points ni TCU ndio wanaspecify.

Matokeo ya kitoka June ulete feedback kama hujawasindikiza tu!!
 
usidhan wanaoenda vyuo vya private walifel form six mawazo potofu hayo.

wengi wameenda na div2 na 1. kama yako iyo uliyobahatisha form 6.

tz ya sasa sio ile ya vyuo viwil mzumbe na dar...

respect the knowledge that u have gained.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom