haya ni maajabu mengine.... ubora wa elimu unapimwa kwa ugumu wa mitihani/idadi ya wanafunzi wanaofeli... hahahaha kali hii (only in tanzania)
Wakuu kozi 14 per semester? Alafu A 12? Alafu Advance mtu alikula div 3 mbuzi au div4 chakavu, Jamani watu semister wanapiga kozi 5 tu lakini hakuna hizo A nyingi tena watu wana vipawa kabisa na div1 na div2 advance.
TCU iingilie kati hivi vyuo mbuzi vinavyochepuka kama uyoga.
Let Me conclude, SAUT ni chuo cha kawaida sana kama Eagle Wings, The Amazon College, Zoom Polytechnic College etc ila sema tu SAUT ni kikongwe kidogo na kimejitanua kwa kiasi chake.
Huwezi compare SAUT na other PUBLIC Universities kama OUT, UDSM, SUA, MZUMBE, UDOM, MUHAS etc. SAUT wana Wahadhiri wachache na wenye minimum quality.
Chuo kizima kina Professors (2) tena associates na PHD holders wa kuhesabu. Hawawezi kuwa bora na ndio maana wahitimu wa SAUT wengi wanakuwaga wauza k*** na ujuaji mwingi usio na maana.
Mbona hakuna ku disco pale utasoma mpaka Uchomoe siyo chuo kile hakina tofauti na vyuo vya NACTE!
elimu yako umesahau kuweka mkuu na chuo ulichosoma. usiweke gpa hatuna nayo kazi kukufanyia evaluation. conclusion yako ina bias. umeongea mazuri upande mmoja. ww unaisaidia tcu kufanya analysis wakati ww sio mtaalam bali mtaalam wa kukandia.
SAUTI ni chuo kinachotambulika na serikali. matangazo ya kazi hayajawahi kutanabaisha kuwa waliomaliza SAUTI wasiapply. Wote wanaapply wanaitwa wote kwenye usahili. hapo ndipo mchamchaka wa kugombea nafasi mbili huanza.
mafanikio yoyote hayaji kwa dharau. mwisho katika hitimisho lako umesahaua kusema nini kifanyike kwa SAUTI. serikali ifanye nn na hata tcu wafanye nn. nitaquestion your integrity na hata your competence in making arguments¡¡¡¡¡¡ ahsante mkuu.
Form Four Leaver tu (2008) with Three Passes (D)