St. Augustine University of Tanzania

St. Augustine University of Tanzania

Status
Not open for further replies.
Kwa mtazamo wa mtoa mada, atabaki kuwa msomi ambae hajaelimika.
 
haya ni maajabu mengine.... ubora wa elimu unapimwa kwa ugumu wa mitihani/idadi ya wanafunzi wanaofeli... hahahaha kali hii (only in tanzania)
 
haya ni maajabu mengine.... ubora wa elimu unapimwa kwa ugumu wa mitihani/idadi ya wanafunzi wanaofeli... hahahaha kali hii (only in tanzania)

Ha! ha! kumbembeleza mwanafunzi aliyefeli kurudia mitihani yake mpaka Atakapoaga Dunia ipo SAUT na hii itaingia kwenye Maajabu 8 ya dunia!
 
Wakuu kozi 14 per semester? Alafu A 12? Alafu Advance mtu alikula div 3 mbuzi au div4 chakavu, Jamani watu semister wanapiga kozi 5 tu lakini hakuna hizo A nyingi tena watu wana vipawa kabisa na div1 na div2 advance.

TCU iingilie kati hivi vyuo mbuzi vinavyochepuka kama uyoga.
 
Wakuu kozi 14 per semester? Alafu A 12? Alafu Advance mtu alikula div 3 mbuzi au div4 chakavu, Jamani watu semister wanapiga kozi 5 tu lakini hakuna hizo A nyingi tena watu wana vipawa kabisa na div1 na div2 advance.

TCU iingilie kati hivi vyuo mbuzi vinavyochepuka kama uyoga.

word! bro
 
Allen Snr,

Na ukiletewa wanafunzi si watano tu bali 10 waliofeli UDSM, Harvard, Oxford, Cambridge etc, utasemaje kuhusu vyuo hivyo, kwamba vinatoa elimu duni?
 
Last edited by a moderator:
Let Me conclude, SAUT ni chuo cha kawaida sana kama Eagle Wings, The Amazon College, Zoom Polytechnic College etc ila sema tu SAUT ni kikongwe kidogo na kimejitanua kwa kiasi chake. Huwezi compare SAUT na other PUBLIC Universities kama OUT, UDSM, SUA, MZUMBE, UDOM, MUHAS etc.

SAUT wana Wahadhiri wachache na wenye minimum quality. Chuo kizima kina Professors (2) tena associates na PHD holders wa kuhesabu. Hawawezi kuwa bora na ndio maana wahitimu wa SAUT wengi wanakuwaga wauza k*** na ujuaji mwingi usio na maana.
 
Dharau sio nzuri ukianza kukosoa chuo unakosea anza na waliokipa ridhaa ya kuwa chuo kikuu(tcu). elimu zinazotelewa vyuoni ni kuunga unga tu. kama ww ni braight kwann uende udsm wakati havard ipo. cambridge ipo. south africa vyuo kibao. acheni upuuzi. sifa za kipuuzi. tunamashaka na elimu yako kuanzia kindergaten hadi degree yako. na kwa dharau zako hiyo CPA uchomoki kwa single sitting.
 
tatizo la wasomi wa siku hizi kwenye research area ya watu zaidi ya 5000, unachukua sample size ya watu wawili halafu unadraw conclusion, hivi ndivyo mlivyofundishwa UD.

Km hiyo ndio njia basi UD kuna vilanza wengi kupita maelezo, mimi nimesoma shahada ya elimu SAUT nimewahifi kukutana kwenye mazoezi kwa vitendo na wanafunzi wa UD wenye masomo ya kufundishia kama yangu ila jamaa ni weupe kuliko unavyofikiri.

Kwa ukubwa wa jina la chuo chao tulipofika walikabidhiwa wafundishe kidato cha nne lakn wanafunzi walikuja wakawakataa kutokana na kutokueleweka darasani na badala yake tuliotoka SAUT na MUM tukapelekwa kufundisha kidato cha nne.

UD kwa kubisha bila hoja na ujuaji wa kijinga walikuwa wanaongoza staff room nzima, kwa hilo nawapa heko!

Sikutaka kuamini kuwa UD wa siku hizi ni vilaza ila huyu mtoa post kanifanya nianze kufuatilia huenda UD wakawa vilaza.
 
Let Me conclude, SAUT ni chuo cha kawaida sana kama Eagle Wings, The Amazon College, Zoom Polytechnic College etc ila sema tu SAUT ni kikongwe kidogo na kimejitanua kwa kiasi chake.

Huwezi compare SAUT na other PUBLIC Universities kama OUT, UDSM, SUA, MZUMBE, UDOM, MUHAS etc. SAUT wana Wahadhiri wachache na wenye minimum quality.

Chuo kizima kina Professors (2) tena associates na PHD holders wa kuhesabu. Hawawezi kuwa bora na ndio maana wahitimu wa SAUT wengi wanakuwaga wauza k*** na ujuaji mwingi usio na maana.

elimu yako umesahau kuweka mkuu na chuo ulichosoma. usiweke gpa hatuna nayo kazi kukufanyia evaluation. conclusion yako ina bias. umeongea mazuri upande mmoja. ww unaisaidia tcu kufanya analysis wakati ww sio mtaalam bali mtaalam wa kukandia.

SAUTI ni chuo kinachotambulika na serikali. matangazo ya kazi hayajawahi kutanabaisha kuwa waliomaliza SAUTI wasiapply. Wote wanaapply wanaitwa wote kwenye usahili.

hapo ndipo mchamchaka wa kugombea nafasi mbili huanza. mafanikio yoyote hayaji kwa dharau. mwisho katika hitimisho lako umesahaua kusema nini kifanyike kwa SAUTI. serikali ifanye nn na hata tcu wafanye nn. nitaquestion your integrity na hata your competence in making arguments¡¡¡¡¡¡ ahsante mkuu.
 
Napata wasi wasi na mleta mada, ujue chuo unachosoma sio ndio kila kitu, lakini wewe kama wewe una nini kilichobaki kichwani baada ya kuhitimu? hazina gani ya maarifa kama msomi? Kuna watu ni wazuri sana katika kufaulu mitihani lakini utendaji wao wa kazi ni aibu tupu! Mleta mada alichokifanya ni kufanya fallacy of generalization, kwa maana kwamba waliosoma wote saut ni vilaza, kwa kuwa anaosoma nao katika discussion anawapa msaada wa kuwaelekeza basi washakuwa vilaza.

wakati tunaingia chuo mwaka 2010 ndio tulikuwa wanafunzi wa kwanza kutumia mfumo wa Kudahiliwa kupitia TCU, waliokuwa na division one, two mpaka three walipelekwa Saut na wengine vyuo vingine na point za kuingia Saut zilikuwa zinalingana au kuzidi vyuo vingine kulingana na kozi husika, wala sio SAUT ilienda kuwachagua bali TCU kupitia CAS ndio iliselect.

Swala la masomo wala sishangai hivi jiulize kama uliweza kusoma masomo mpaka 12 O-level na kuyafanyia mtihani wa Taifa,kila moja mtihani kwa masaa 3 na umesoma kwa muda wa miaka 4 utashindwa kweli kozi 10 za semister moja na mtihani unatungiwa na yule yule anayekufundisha somo husika tofauti na secondary anayekufundisha mwingine mtihani unatungwa na wengine!

Waliosoma shule za seminary au za mashirika ya kidini mnajua wastani wao wa kuvuka darasa moja kwenda lingine, wastani mkubwa balaa lkn hii yote inawafanya watu wasome kwa bidii ili kufikia wastani, sasa mpangilio wa A au B+ unategemeana na chuo ndio waliojiwekea hivyo ili kupandisha kiwango cha elimu hata baadhi ya vyuo vya serikali wanatumia hiyo system ya A kuanzia 80. Cha kushangaza pamoja na hizo marks wanazosema mtu mwenye First class anaweza kuwa mmoja chuo kizima.
 
nyanja255,

Tunaomba NECTA waingie kati mitihani yote itoke NECTA na kila kitu kiratibiwe kule tuone itakuaje. maana sijawahi sikia mtu akijisifu div 1 yangu ya kilakala sec ni nzuri kuliko yako ya st. mathew. apo ndipo tutaona kama kuna watakao jisifu kuwa gpa zao ni bora kuliko za chuo kingine!

ila mtoa mada ataanza kusema TCU ina bias div 1 na 2 wanatakiwa waende UDSM, SUA , MZUMBE (TOP 5 University in tz) the rest div 3 waende vyuo vingine!!!!! akili ya mtoa mada, hataishia apo ataleta vioja vingine kuwa wakufunzi wana viwango duni!!! swali. kama tz haifai kutoa elimu unayotaka ww kwanini usiende USA. UK. SA. MIDDLE EAST. AUSTRALIA kutafuta elimu unayotaka ww!???
 
Last edited by a moderator:
KASEHUYE,

Well said uko vizuri mkuu!
 
Last edited by a moderator:
elimu yako umesahau kuweka mkuu na chuo ulichosoma. usiweke gpa hatuna nayo kazi kukufanyia evaluation. conclusion yako ina bias. umeongea mazuri upande mmoja. ww unaisaidia tcu kufanya analysis wakati ww sio mtaalam bali mtaalam wa kukandia.

SAUTI ni chuo kinachotambulika na serikali. matangazo ya kazi hayajawahi kutanabaisha kuwa waliomaliza SAUTI wasiapply. Wote wanaapply wanaitwa wote kwenye usahili. hapo ndipo mchamchaka wa kugombea nafasi mbili huanza.

mafanikio yoyote hayaji kwa dharau. mwisho katika hitimisho lako umesahaua kusema nini kifanyike kwa SAUTI. serikali ifanye nn na hata tcu wafanye nn. nitaquestion your integrity na hata your competence in making arguments¡¡¡¡¡¡ ahsante mkuu.

Form Four Leaver tu (2008) with Three Passes (D)
 
Tatizo huu ubishi unakuja kwa sabu hii SAUT iliokota wengi mno ndo maana mnabisha hovyo wote ni III-14,15,16,17 Ndo SAUT hiyo!
 
vijana naona mnaanza kudharauliana. ningependa siku moja humu ndani pawe na QUIZ. kila anayetoa jibu, anataja na chuo alichosoma. Quiz iwe ya muda maalum, kuepusha watu kuremba sentesi za kwenye kitabu!!!!!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom