St. Augustine University of Tanzania

St. Augustine University of Tanzania

Status
Not open for further replies.
Ww Na Ambao Unapga Nao Discusion Wote Hamna Akili Njoo Upge Na Mm Discusion Uone Km Utambulia K2. Usiwe Na Wivu Wa Wenzio Kufanya Vzur Huo Ni Ushamba Na Elimu Sio Ya Baba Yako,----- Ww!
 
Bila shaka mleta mada ni limbukeni, maskini wa kufikiri , hufahamu kama hajui ila unataka kuonekana unajua . Wasomi wa nchi hii ndio wanaorudisha nchi nyuma kimaendeleo na hii inatokana na wivu wa kimaendelea . GPA sio ishu tena wewe siku hizi watu wanaangalia performance.
 
Mitihan Ya CPA Ur Not Normal Ndie Unajicfia Mara Ooh! Nimepata Kdogoo! Wenzangu Wanapewa A Wkt Ww Mwenyewe Kilaza Usiejishtukia Na Hiyo 3.5 Ulipata Kwa Nondo,
 
Tatizo ni kupata division three form six halafu ukapindua matokeo na kupata A tano chuon? Au hili pia haliwezekan
 
Lete hoja mkuu Hapa siyo sehemu ya kuangalia grammatical errors Inamaana wewe kichwani ni Mweupe kabisa hiwezi kuchangia chochote juu ya hili?

Njoo upige disc na mm huku sio hao walinzi Wa Villa park
 
saut wanachukua reject za public universities.angalia entry qualifications za vyuo husika.

Ww Mafuta Wanachukua Reject Za Public University Kwamba Saut Wanafunz Wke Hawajachaguliwa Na Tcu Mbona Mnaongea U2mbo Xn Humu Ndan Napata Wasiwas Na Usomi Wenu,
 
Mitihan Ya CPA Ur Not Normal Ndie Unajicfia Mara Ooh! Nimepata Kdogoo! Wenzangu Wanapewa A Wkt Ww Mwenyewe Kilaza Usiejishtukia Na Hiyo 3.5 Ulipata Kwa Nondo,


Huku siyo SAUT hakuna Nondo!
 
Kinachonishanga ni idad ya koz wanazo soma kwa semista mpaka 14,halaf wat tunao wajua ni vilaza utakuta ana A& plus,mmh!
 
Kwa yeyote anaesoma vyuo kama UD,SUA,UDOM,ARDH,MHAS,MZUMBE NK.Anajua kuwa koz 14 uzito wake haulezek,ngum sana kpata As
 
Saut ni vilaza hilo hlipingiki,,ila mtoa post umezidisha majigambo....

Watu wenye Div 3,,4 Advance ndo hudahiliwa hiccho chuo....kwa wingi....

Hahha na mabanda yenu A+ ..kozi 14 per semister alafu mtu anafyatua A 10 ....hahaha ni elimu au Biashara..
Well done Taasisi binafsi kama Saut zipo kwa ajili ya kupiga mkwanja ......maliza Degree saut nenda M.A
Udsm
Sua
Ifm
Ndo utajuaa shule ni nini....
 
Soma kozi 14 UDOM udisko hata kabla hujafanya UE (direct discontinuation).........SAUT mmmmmmmmmh no comment ila.....m
 
Mleta mada si intellectual,uki ague na zero utajipa pressure bure,hao anaosoma nao ni wacourse gani,maana isijekuwa just BBA halafu yeye amesoma finance.Mie nimesoma Muhimbili Pharmacy,nikasoma SAUT BBA na master yangu MBA SAUT.
SAUT they create intellectual graduate,na umaskini wa Tanzania umesababishwa na elimu ya Mlimani.
My life has changed just after came back to take the education in SAUT.
With my BPharm was earning money but it was useless in my life,my education was useless in my society.
At SAUT I learned even philosophy which I would haven't earned it even by tuition,other subject taught in SAUT create graduate to be intellectual not just educated!
I took my O-level and A-level secondary levels in Mzumbe but what I got in SAUT,is value for money education,I will take my kids there. So I don't get what is arguing here.Rejects are coud be A-levels not versties then for those who didn't go to special school but still pointless!
To take eleven lessons is not a simple case,50 C and A from 80.
I`m enjoying my cake now employed by USAID and my private Pharmacies Businesses, projects paying me back!



Sent from my apple min 3200XY
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom