St. James Church Arusha 1959

St. James Church Arusha 1959

Ndallo

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2010
Posts
7,619
Reaction score
4,299
St James Arusha 1959.JPG

The Saint James Church . . . Old photo. . . Memories . . 1959 Arusha
 
Kwa wale wakazi wa jiji la Arusha maeneo ya karibu na Hosptali ya Kaloleni basi hili ndilo kanisa lenyewe.
 
hapo kwenye kijumba cha pembeni ndipo niliposoma nursery school.....them old dayz.....
 
Ila soon nadhani kanisa hili halitakuwepo tena kwani kuna mkakati wa kuwalipa fidia wananchi wote wa kaloleni kupisha ujenzi wa magorofa maeneo hayo.
 
Kwa wale wakazi wa jiji la Arusha maeneo ya karibu na Hosptali ya Kaloleni basi hili ndilo kanisa lenyewe.

whoooo, nadhani makaburi hapo pembeni yalikuwa hayajaanza kutumika...du kumbe la long time hivyo?
 
Enzi hzo ukristo ulipokuwa ukristo sio siku hizi ni mara upako, mara kuamsha misukule, mara kupata watoto n.k
 
hapo kwenye kijumba cha pembeni ndipo niliposoma nursery school.....them old dayz.....

hivi hiyo nursery bado ipo?...wa kunyumba unamjua dida? alikuwa baunsa wa crystal, khaa naambiwa kajinyonga mie kushoka kabisa, yaani jamaa amenikera japo kashakuwa marehemu,
 
Napakumbuka hapa...wakati mwingine palikuwa na fujo na askofu mstaafu na Rev Kajembe
 
kwaya zote nzuri mwishoni mwa miaka ya sabini nakumbu mzee alikuwa anazileta akisafiri kwenda arusha
 
hivi hiyo nursery bado ipo?...wa kunyumba unamjua dida? alikuwa baunsa wa crystal, khaa naambiwa kajinyonga mie kushoka kabisa, yaani jamaa amenikera japo kashakuwa marehemu,

sasa ndio mambo gani hayo......huyo sikuwa namfahamu ila hiyo roho ya kujinyonga inachefua sana......wayiii.....
kuhusu nursery sijui kama bado ipo coz sijaona watoto muda sasa.......
 
Kumbe we are skul mates? Mie nilisoma hapo in 1960 kabla sijahamia bhengaz. Source: natalia

ha ha....skul mate.....badi wewe utakuwa unamfahamu Nusuraaaa(Nusura)........
 
sasa ndio mambo gani hayo......huyo sikuwa namfahamu ila hiyo roho ya kujinyonga inachefua sana......wayiii.....
kuhusu nursery sijui kama bado ipo coz sijaona watoto muda sasa.......

mie kanikera mpaka basi, alikuwa best yangu inabidi nikale tu pilau la ijumaa msibani, hivi unakumbuka kile kipub kilikuwa juu ya hilo kanisa? sijui kalikuwa kanaitwaje vile, kilivuma saaanaaa.
 
Back
Top Bottom