Nyamayao
JF-Expert Member
- Jan 22, 2009
- 6,966
- 2,357
Ha ha ha haaa Nyamayao nimejaribu kutafakari akili inanielekeza nyamayao atakuwa mtoto wa mzee fulani mitaa ya Kaloleni !.Anyway Jmosi ukija XL Pub naweza kukutambua ila ngoma itakuwa kumtambua Ngongo ha ha ha ha.
watoto wa mzee kileo? sema unamuhisi nani basi? hahahah,hiyo kutambuana itakuwa ngumu kwa wote au ni ya members so member mpya nitatakiwa niji intro?