St james' seminary,maua seminary na uru seminary

St james' seminary,maua seminary na uru seminary

Vawulence

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2009
Posts
1,930
Reaction score
2,118
Kusema kweli hizi seminari zimenivutia kwa muda mrefu sana. Binafsi nilibahatika kusoma katika mojawapo ya seminari hizo.
Kinachonivutia zaidi pamoja na mengine ni namna zilivyoweza kufanya vizuri kwenye mitihani ya taifa kwa miaka mingi sana.
Jambo lingine ni jinsi wanavyopata wanafunzi wao. Hapa seminari zote tatu hufanya interview pamoja na kisha mtihani wa kuchagua wanafunzi ambao huwa na standard moja kwa seminari zote tatu. Nadhani ndio sababu hata matokeo ya kitaifa hawapishani sana.
Wakuu mliopita huko hata kama mlifukuzwa mapema hebu shusheni data za ndani hapa.
 
Duh! You nailed it! Nilikuwa namiliki migodi kama 9 hivi pale SAJASE.

migodi ilikuwa ndo order of the day nakumbuka maminister walikuwa wanaila na kutupaje ngozi
 
Back
Top Bottom