St John Dar es salaam campus mpo...?

St John Dar es salaam campus mpo...?

Joined
Aug 24, 2013
Posts
30
Reaction score
1
..ndugu zangu mliochaguliwa st marks dar..kama kuna yeyote anayejua cku ya kuripot kwa first year chuon tujuzane..cz wengine ata hatujui knachoendelea n kp...nawasilisha wandugu
 
me saiv nimetumiwa text toka chuoni wamenijulisha kuwa nimechaguliwa hapo so natakiwa nikachukue joining instruction b4 the end of ths month
 
mbona mimi hawajanitumia au bado hawajanifikia? Ngoja nisubiri
 
me saiv nimetumiwa text toka chuoni wamenijulisha kuwa nimechaguliwa hapo so natakiwa nikachukue joining instruction b4 the end of ths month

..hongera kaka..bt ina maana joining instruction hawataweka kweny website yao..au kuzpata n mpk tuzifuate chuon..?
 
Back
Top Bottom