Tanzania ni nchi mojawapo katika Afrika inakimbizana na ujinga. Sisi sote ni mashahidi wa haya, nasema haya kwa sababu zaman chuo kilikuwa ni kimoja tu yaani UDSM lakini siku hizi kuna vyuo lukuki.
Ni vyema kuwa na vyuo vingi lakini TCU iwe inavihakiki ili kulinda ubora na mazingira ya wanafunzi kwenye vyuo hivi ili viwe na sifa na ubora. Hayo ni kwa ujumla. Moja ya vyuo hivi ni pamoja na St. John ambacho kinamilikiwa na Kanisa Anglikana Tanzania.
Uongozi wa chuo hiki hakiwajali wanafunzi wake kabisa na kupelekea kuwafukuza bila hata kufuata utaratibu kabisa wanapohoji maslahi yao au wakoseapo. Mfano wa mambo haya ni:
1. Wanachuo wanapokuwa na mashaka juu ya uwezo wa lecturer na kuhoji kiwango cha elimu yake (kwa kuwa hakuna prospectus). Watu wamesimamishwa kwa kuwa hilo ni kosa.
2. Wapo walimu wenye digrii ya kwanza ambao wanafundisha madarasa ya digrii.
3. Mwanafunzi anakaa miaka yote mitatu hajui hata prospectus ya chuo ikoje.
4. Menejimenti haifuati utaratibu wa kisheria katika maamuzi ya kisheria. Mfano, inafukuza wanachuo pasipo kufuata utaratibu.
5. Ni wiki jana tu wahitimu wa tawi la Dar wa mwaka jana wameandamana kudai vyeti vyao. Kwa haya na mengine mengi TCU na wamiliki wako wapi?