St. John hapafai

St. John hapafai

Hii ni kweli kabisa kama TCU MNAFIKIRI NI UONGO NENDA MWANGALIE MATOKEO YA SEMESTER ILIYOPITA :rockon:
 
Huo ni uongo acha uchochezi kuhusu simuco! Ni coz gani haijasajiliwa na tcu??

TCU wanachangia sana kuwepo kwa vyuu vikuu vya kibabaishaji. kuna vyuo havifai kuitwa vyuo vikuu kutokana na jinsi vilivyo, mfano ni Stefano Moshi Memorial University College (SMMUCO) cha Moshi, kuna wanafunzi waliacha masomo mwaka 2011 baada ya kugundua kozi wanazosoma hazijasajiliwa na TCU!
 
Mkuu naona ww ni mmoja wa wadau wa SJUT, either kifamilia au kiajira! Kwanza huyo dean FOCB i.e KI..NGA (kasoma malaysia kwenye chuo cha kata, ni shoga na anatabia za kuwalaghai wanafunzi wakike kwa kuwapa maksi na kuwala TIGO) mfano ninao demu wa jamaa yangu kamtigolize mpaka jamma wakabreak na GF wake, ni mtaalamu wa ndumba ile mbaya....! Wape salamu "ma-lecturer uchwaara" Jam....es, mzee wa Botswana, fadhi...l,.......etal

2kikwambie uthibitishe una ushahdi juu ya tuhuma zako?
 
tanzania ni nchi mojawapo katika afrika inakimbizana na ujinga. Sisi sote ni mashahidi wa haya, nasema haya kwa sababu zaman chuo kilikuwa ni kimoja tu yaani udsm lakini siku hizi kuna vyuo lukuki.

Ni vyema kuwa na vyuo vingi lakini tcu iwe inavihakiki ili kulinda ubora na mazingira ya wanafunzi kwenye vyuo hivi ili viwe na sifa na ubora. Hayo ni kwa ujumla. Moja ya vyuo hivi ni pamoja na st. John ambacho kinamilikiwa na kanisa anglikana tanzania.

Uongozi wa chuo hiki hakiwajali wanafunzi wake kabisa na kupelekea kuwafukuza bila hata kufuata utaratibu kabisa wanapohoji maslahi yao au wakoseapo. Mfano wa mambo haya ni:

1. Wanachuo wanapokuwa na mashaka juu ya uwezo wa lecturer na kuhoji kiwango cha elimu yake (kwa kuwa hakuna prospectus). Watu wamesimamishwa kwa kuwa hilo ni kosa.

2. Wapo walimu wenye digrii ya kwanza ambao wanafundisha madarasa ya digrii.

3. Mwanafunzi anakaa miaka yote mitatu hajui hata prospectus ya chuo ikoje.

4. Menejimenti haifuati utaratibu wa kisheria katika maamuzi ya kisheria. Mfano, inafukuza wanachuo pasipo kufuata utaratibu.

5. Ni wiki jana tu wahitimu wa tawi la dar wa mwaka jana wameandamana kudai vyeti vyao. Kwa haya na mengine mengi tcu na wamiliki wako wapi?

siwatetei ila kwahaya hujawatendea haki! Prospectus ya st john university ipo kwenye internet, waalimu wenye digree ya kwanza kufundisha wanafunzi wa shahada ya kwanza siyo jambo geni kwa tanzania yenye uhaba mkubwa wa wahadhiri, hii ni njia mojawapo ya kuaandaa wahandiri bora wa baadae vyuo vikongwe hapa nchini kama udsm, sua vinawatumia pia
 
mm nipo first year campus ya dar ya st.john,hakuna cha prospectus wala almanac,unaekataa hl huijui st.john,mazngira n mabovu ya kusomea.hapa ilitakiwa iwe prmary xkul,coz mazngra kiujumla hayana ubora wa kuitwa chuo kikuu.co kwa majengo2 bali hata academics hapa n mbovu,hazna kiwango.kuna mtu anaitwa baitu hapa n lecture wa Baed,anawafelsha watu kwa sabab zake bnafc,ukmfata anajb short ucnfundshe kaz.kama uamn njoo bugurun malapa uone haya.
 
mm nipo first year campus ya dar ya st.john,hakuna cha prospectus wala almanac,unaekataa hl huijui st.john,mazngira n mabovu ya kusomea.hapa ilitakiwa iwe prmary xkul,coz mazngra kiujumla hayana ubora wa kuitwa chuo kikuu.co kwa majengo2 bali hata academics hapa n mbovu,hazna kiwango.kuna mtu anaitwa baitu hapa n lecture wa baed,anawafelsha watu kwa sabab zake bnafc,ukmfata anajb short ucnfundshe kaz.kama uamn njoo bugurun malapa uone haya.

unauhakika prospectus haijawekwa kwenye website yao?
 
kwani prospectus inatakiwa iwekwe kwenye website au wagawiwe wanafunzi?

website ni njia mojawapo tena inayoshauriwa kwani unapata updates muhimu kuliko hard copy ambayo siyo rahisi kufanyiwa marekebisho katikati ya mwaka wa masomo.
 
Daa! wafanyakazi sasa wa chuo hiki pale Dom, sijui kama wanajitambua. Yani Mwanachuo akiwa na shida ya kiofisi wananyanyasika utaskia 'subiri' utasubiri milele 'njoo kesho' utaenda kesho, keshokutwa hadi mitondogoo bila mafanikio.Wanadhani wao wamamaliza kila kitu, hawajui tu kuna wanafunzi wanasoma pale ni wakubwa tu maofisini mwao na wengine ni wa kitaifa.Pale kwa Burser ndo usiseme ukiwa na roho ndogo unaweza piga mtu, kule town center Dom kuna mtu anaitwa Abdul hakika anahitaji ukombozi wa kifikra, the young boy is so dumpen.
Shida pia ni kwamba hawaajiri kutokana na uwezo na academics za mtu bali inabidi uwe mchungaji,mke wa mchungaji,mtoto/mjomba,binamu wa mchungaji au askofu na mwisho ukiwa MGOGO hasa wa Mvumi ni added advantage

na huyo Abdul ni mtoto wa nani? Mchungaji? Askofu?
 
Si kubaliani na wewe kama chuo kinaweza kuendeshwa bila prospectus na Almanac.Ninachojua mwanafunzi anajukumu la kuwa na prospectus anapoingia mwaka wa kwanza chuo chochote.Kingine aijalishi mtu kuwa n MBA asifundishe mtu wa MBA kinachoangaliwa ni uzoefu wa kazi na sio lazima Phd Holder,ninachojua kwa Stjohn dean wa faculty ya Business ni Phd Holder na full nbaa holder with international experience so my dear for stjohn you are wrong.Pia kingine ni kwamba mtu unapofukuzwa chuo kuna chanzo kwanini wasilalamike chuo kizima alalamike mmoja.Kuhusu vyeti ni vyuo vingi vinachelewa kutoa vyeti coz vyeti vya chuo sio kama vya sekondari vina utaratibu wake kuvitoa na vingi avichapishwi Tanzania.

na nyongeza ni kuwa mwaka jana UDSM walihitimu watu 13 ambao ndo wako 1st year
 
.....Interesting! Hakuna anayezungumzia uwezo wa wanafunzi wa St. John. Ni walimu tu wanazungumziwa. Wanafunzi wengi wanaoenda SJUT wana uwezo mdogo sana wa kitaaluma. Mi nawalaumu wanasiasa kwa kuwaaminisha watanzania kwamba kila mtu anatakiwa awe na digrii. Sio kila mtu anahitaji digrii. Mwenye degree ni analyst, sio mtendaji-technician. Tunahitaji wenye certificate and diploma wengi kuliko wenye digrii.
 
Tembelea website yao (St.John's University of Tanzania) utakuta prospectus 2012-13, almanac and student handbook 2013. Mwanafunzi aliye serious anajua la kufanya. Kwa hili wamekuwa consistent and uptodate. Kwa mengine sina first hand information.
 
kwani prospectus inatakiwa iwekwe kwenye website au wagawiwe wanafunzi?

Boss kumbuka watu wanalipia prospectus na kwa hili ni haki ya kila mwanachuo ya kupewa. Kwo unataka kusema gharama ya printing ni ya nani? Nadhan kama umeenda baadhi ya vyuo kama IFM nk, utaona... Kuhusu walimu mpo mnaofundisha na mna bachalor zenu. tunafaham kazi ya ma-TAs
 
SIYO SIRI MTOAUZI KASEMA YA KWELIKABISA COZ HATA MM NI MWANAFUNZI WA ST JOHN'S FIRST YEAR NASOMA BAF MAIN CAMPAS[MAZENGO-DODOMA]
HADI HII LEO NI WIKIYA 3 TANGU MATOKEO YA SEMISTER YA KWANZA YATOKE ILA WANAFUNZI TAKRIBANI ZAIDI YA 150 KATI YA 210 HAWAJAPATA MATOKEOYAO MM MWENYEWE NI MMOJAWAO
NA KITUKILICHOSABABISHA TUSIPATE MATOKEO NI KUGOMA KWA HALALI (nikisema kugoma kwa halali namaanisha tulifuata process zote na malalamiko etu kuhusu kubadilishiwa mwalimu wa hiyo kozi tulianza mwaka jana /2012/, kwa kuandikabarua kwa dean of faculty,dean of student na kwa DVCA)
PAMOJA NA KUFUATA HATUA ZOTE STAHIKI LAKINI BADO UONGOZI WA JUU WALIOGOPA KUTUBADILISHIA LECTURER,KWA HALI HIYO SISI WANAFUNZI TUKAWAOMBA HIYOKOZI TUISOME SEMISTER IJAYO LAKINI HATUKOTAYARI KUFUNDISHWA NA HUYO LECTURER (ALLEN MTETEMELA)
TULISEMA HIVYO MAANA TANGUMWEZI WA DECEMBER 2012 HADI TUNAKARIBIA KUFANYA UE HUYO LECTURER HAKUWAHI KUINGIA DARASANI NA HAPOHAPO TUNALAZIMISHWA KUFANYA UE
WAKATI MODULE KIBAO HATUJASOMA!


MGOMO HUO ULIKUWA KUTOFANYA MTIHANI WA BUSINESS LAW AMBAO LECTURER WA HIYO KOZI HAKUWA NA VIGEZO VYA KUFUNDISHA [KIWANGO CHA ELIMU]
ILA HIYO ILIKUWA SI HOJA KUBWA SANA KWANI KUNAMALECTURER WENGI AMBAO WANA BACHELOR NA WANAFUNDISHA
TATIZO LA HUYU LECTURER [ALLEN MTETEMELA] NI KUTOA LUGHA ZISIZOFAA KWA WANAFUNZI
MFANO; KUWAITA WANAFUNZI VILAZA
ANASEMA ''NIKIMTAKA MWANAFUNZI YEYOTE HUMU NDANI SIMKOSI'' [KUWA NA UHUSIANO WA KIMAPENZI NAWANAFUNZI]

KUWALAZIMISHA WANAFUNZI KUNUNUA VITABUVYAKE KWA BEI YA GHALI NA KUTUAMBIA USIPONUNUA UTAREPEAT KOZI

NA MWISHO KABISA ANASEMA ''MM NDO MTETEMELA HAKUNAMTU MWENYE MAMLAKA YA KUPINGA KAULIYANGU KTK HIKI CHUO''

HUYU JAMAA ANAJIFANYA MUNGU MTU KISA NI WATOTO WA MWENYECHUO MTETEMELA

HATA DVCA ANAMUOGOPA HUYU JAMAA....


[URL=https://www.jamiiforums.com/usertag.php?do=list&action=hash&hash=NA]#NA JUTA[/URL] KWANINI NILIJAZA HIKICHUO

#NA MWAKA WA 2 KAMA MAMBO YATAKUWA POA NATAKA KUAMA KABISA!
 
Back
Top Bottom