St. John hapafai

Lugulu

JF-Expert Member
Joined
Mar 27, 2013
Posts
482
Reaction score
175
Tanzania ni nchi mojawapo katika Afrika inakimbizana na ujinga. Sisi sote ni mashahidi wa haya, nasema haya kwa sababu zaman chuo kilikuwa ni kimoja tu yaani UDSM lakini siku hizi kuna vyuo lukuki.

Ni vyema kuwa na vyuo vingi lakini TCU iwe inavihakiki ili kulinda ubora na mazingira ya wanafunzi kwenye vyuo hivi ili viwe na sifa na ubora. Hayo ni kwa ujumla. Moja ya vyuo hivi ni pamoja na St. John ambacho kinamilikiwa na Kanisa Anglikana Tanzania.

Uongozi wa chuo hiki hakiwajali wanafunzi wake kabisa na kupelekea kuwafukuza bila hata kufuata utaratibu kabisa wanapohoji maslahi yao au wakoseapo. Mfano wa mambo haya ni:

1. Wanachuo wanapokuwa na mashaka juu ya uwezo wa lecturer na kuhoji kiwango cha elimu yake (kwa kuwa hakuna prospectus). Watu wamesimamishwa kwa kuwa hilo ni kosa.

2. Wapo walimu wenye digrii ya kwanza ambao wanafundisha madarasa ya digrii.

3. Mwanafunzi anakaa miaka yote mitatu hajui hata prospectus ya chuo ikoje.

4. Menejimenti haifuati utaratibu wa kisheria katika maamuzi ya kisheria. Mfano, inafukuza wanachuo pasipo kufuata utaratibu.

5. Ni wiki jana tu wahitimu wa tawi la Dar wa mwaka jana wameandamana kudai vyeti vyao. Kwa haya na mengine mengi TCU na wamiliki wako wapi?
 
Mkuu upo sahihi kabisa, angalia facult deans, head of depatmernts ni MBA holders. Halafu wanaanzisha a lot of MBA akati walimu majority ni MBA holders amfundishe MBA student ....!!!!!?????? Kweli hivi vyuo ni miradi ya wakubwa, wakikutana wanagaiana mapato na kusepa.....!
 
Kikubwa Chuo kipo katika ardhi ya Tanzania na kina maslahi kisiasa basi usifikirie kuna hatua kitachukuliwa..maana Taasisi nyingi zinazoangalia Taasisi nyingine zinapata maelekezo ya kisiasa katika kutekeleza malalamiko ya aina hiyo..Kwa kifupi tayari Tanzania imeingia kwenye nchi yenye Vyuo vikuu hata kama havina sifaa husika kuitwa hivyo. Maana haiwezekani chuo kiendeshwe bila prospectus na Almanac pia..inamaana haina mwongozo wala utaratibu wa kitaaluma..Vumilia tu ndugu yangu yanamwisho haya!!
 
Chuo africa ni University of Cape Town bana,vingine ni wizi mtupu hakuna cha elimu wala elimika,ni msuli wako udonoe donoe kama kuku
 
Daa! wafanyakazi sasa wa chuo hiki pale Dom, sijui kama wanajitambua. Yani Mwanachuo akiwa na shida ya kiofisi wananyanyasika utaskia 'subiri' utasubiri milele 'njoo kesho' utaenda kesho, keshokutwa hadi mitondogoo bila mafanikio.Wanadhani wao wamamaliza kila kitu, hawajui tu kuna wanafunzi wanasoma pale ni wakubwa tu maofisini mwao na wengine ni wa kitaifa.Pale kwa Burser ndo usiseme ukiwa na roho ndogo unaweza piga mtu, kule town center Dom kuna mtu anaitwa Abdul hakika anahitaji ukombozi wa kifikra, the young boy is so dumpen.
Shida pia ni kwamba hawaajiri kutokana na uwezo na academics za mtu bali inabidi uwe mchungaji,mke wa mchungaji,mtoto/mjomba,binamu wa mchungaji au askofu na mwisho ukiwa MGOGO hasa wa Mvumi ni added advantage
 
Si kubaliani na wewe kama chuo kinaweza kuendeshwa bila prospectus na Almanac.Ninachojua mwanafunzi anajukumu la kuwa na prospectus anapoingia mwaka wa kwanza chuo chochote.Kingine aijalishi mtu kuwa n MBA asifundishe mtu wa MBA kinachoangaliwa ni uzoefu wa kazi na sio lazima Phd Holder,ninachojua kwa Stjohn dean wa faculty ya Business ni Phd Holder na full nbaa holder with international experience so my dear for stjohn you are wrong.Pia kingine ni kwamba mtu unapofukuzwa chuo kuna chanzo kwanini wasilalamike chuo kizima alalamike mmoja.Kuhusu vyeti ni vyuo vingi vinachelewa kutoa vyeti coz vyeti vya chuo sio kama vya sekondari vina utaratibu wake kuvitoa na vingi avichapishwi Tanzania.
 

Nakuunga mkono, watoto wa maaskofu wa anglikana wanapata ajira sana hapo, yupo mmoja tulikuwa naye US baba yake ni askofu musoma anaitwa OMUNDE JOYCE , mrembo wangu huyu , msalimie sana ukimuona kaajiriwa hapo hapo
 
TCU wanachangia sana kuwepo kwa vyuu vikuu vya kibabaishaji. kuna vyuo havifai kuitwa vyuo vikuu kutokana na jinsi vilivyo, mfano ni Stefano Moshi Memorial University College (SMMUCO) cha Moshi, kuna wanafunzi waliacha masomo mwaka 2011 baada ya kugundua kozi wanazosoma hazijasajiliwa na TCU!
 
Mmmh! kumbe hata vyuo vya kanisa ni magumashi namna hii, nilidhani ni only moslem's, .........wht a pity!!!!
 

Mkuu naona ww ni mmoja wa wadau wa SJUT, either kifamilia au kiajira! Kwanza huyo dean FOCB i.e KI..NGA (kasoma malaysia kwenye chuo cha kata, ni shoga na anatabia za kuwalaghai wanafunzi wakike kwa kuwapa maksi na kuwala TIGO) mfano ninao demu wa jamaa yangu kamtigolize mpaka jamma wakabreak na GF wake, ni mtaalamu wa ndumba ile mbaya....! Wape salamu "ma-lecturer uchwaara" Jam....es, mzee wa Botswana, fadhi...l,.......etal
 
wapi pa kukimbilia kama hata na huko nako ni uozo.
 
Boss, unataka kusema hata transcripts zinachapishwa nje ya nchi. Sitaki kuamini katika hili. Ninao ushahidi katika hili jinsi mlivyowahidi wahitimu hasa wale wa Centre yenu ya Dar mara tu baada ya mahafali. Wadau hebu tusaidiane kwa hili la vyeti kutengenezwa nje ya nchi kuna ukweli?
 
Lazima chuo kitakuwa na Prospectus , isipokuwa Labda upatikanaji wake haujawekwa wazi.

Nadhani ndani ya uongozi wa chuo hiki kuna matatizo makubwa ya

1.uwajibikaji na uzimamizi wa haki za wanafunzi.

2.mfumo wa utungaji, usimamizi, usahishaji na upangaji matokeo Bado haukizidhi viwango na hivyo wanafunzi huonewa na kuishia kupata marks likizo endana na uelewa
3. Watoto wa kike wapo matatani, maana kama hakuna ufuatiliaji means mwl. anaweza amua lolote. Rushwa ya ngono utakuwa kitu cha kawaida hapo chuo.

Nashauri uongozi wa chuo wajipange upya na sheria za chuo zichukue mkondo wake kutengeneza hadhi ya chuo.
 
Professor Mwaga alishafariki
St John kweli kuna ukabila lakini una faida na hasara zake, hivyo km zinakufaa unaendelea lakini kama hapakufai bora utafute Chuo na fani ingine
Ikiwa umetoka Sekondari na vitabia vya Usharobaro na kudekadeka ukitaka migomo eti hutimiziwi pale wapo makini, tabia za kihuni zisizo na maadili pale utakosana nao tu
Ila jkwa ukabila ni kweli kama wewe sio Mgogo kuapata ajira pale ni vigumu sana hasa kuanzia Uhudum, Unesi hadi ngazi za juu huwezi ajiriwa hapo
 
Naamini umeghafilika katika haya uliyoandika hapa, sisi kama wasome inabidi tutumie Lugha ya Staha kuonyesha kwamba tumeilimika. Madai uliyotoa juu ya huyo Mheshimiwa X ni mazito hivyo inabidi uattach evidence ILI media na taasisi zingine husika ziweze kumshughulikia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…