St. John hapafai


business law si unajisomea tu? Acheni uzembe bana, mi nilifikiri core subject
 

Shukrani kwa ufafanuzi, lakini najua prospectus siyo "confidential document" so tunaomba tuwekee hapa.
 
business law si unajisomea tu? Acheni uzembe bana, mi nilifikiri core subject

Basi wangejisomea nyumbani tu kuna haja gani ya kulipa tuition fee then unakurupuka na kuandia 'si mngejisomea tuu' au unataka waende tuition kama chuo fulani hivi mjini?
 
Basi wangejisomea nyumbani tu kuna haja gani ya kulipa tuition fee then unakurupuka na kuandia 'si mngejisomea tuu' au unataka waende tuition kama chuo fulani hivi mjini?

Business Law ni nyepesi mkuu! During my days I never attended any lecture, nikapata B+
 
business law si unajisomea tu? Acheni uzembe bana, mi nilifikiri core subject

KWA ST JOHN BUSINESS LAW NI CORE SUBJECT.....

Pale first year wa BBA tunasoma kozi nyingi sana
kwa wale BBA wa kawaida wanasoma kozi 9 na wale BBA IN ED. Wanasoma kozi 11
na core subjects ni 6 na 7 respectively

yaani hapo ni mwendo wa kukariri tuu! Mwanzomwisho
mtu mwenye sifa za tutorial assistant kwa st john ni senior lecturer....
 

kama core mna haki ya kulalamika, lakini, someni kimakundi! Ubinafsi chuo ni hatari kwa mbinafsi
 

masomo hayo siyo mengi kwa mwaka! Matano hadi sita ni sawa kwa semester moja na ni vyuo vyote
 

Kweli kaka huyo jam.....es sanaa tupu.
 
Kweli TCU NI JANGA NENDA NA CHA SAUT IFAKARA(ST FRANCICS) HAWANA HATA DARASA MOJA WAUNGAUNGA NAMADARSA YA CHUO CHA AMO IFAKARA SASA NI MIAKA MITATU TANGU KIANZISHWE...
 
yote maisha.muhimu pigeni msuli ili mchomoke kimaisha.
 
Huwa nawaambia udom bado kchanga ila kinakuja juu sana ndo maana unaona kinakosolewa sana kabla ya hapo sua na mzumbe ndo vlikuwa na jina kwa sabb ya kutshia soko la udsm,vngne kama mum,st marks, mwenge,sekomu,nk huwez kuvsikia dosari zao zkijadiliwa
 
R.I.P wanafunzi wa st john..........malecturer vlaza
wanafunz vlaza plus
 

Ukiona majengo ya Sekondari yanabadilishwa kuwa chuo binafsi basi hapo panaitaji maombi mazito.Nyie wa st John kila siku mmnalalamika nchi hii hata mfanyeje amtasikilizwa Ombeni Mungu mmalize muondoke,la sivyo mkihoji mtafukuzwa sana hapo.kikubwa funika kombe mwanaharamu apite.unafikiri TCU awayajui maswaibu yenu?wanajua sana.poleni sana wakuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…