St.John University imefungwa baada ya kutokea vurugu kisa pesa za bodi

St.John University imefungwa baada ya kutokea vurugu kisa pesa za bodi

Nyadunga

Senior Member
Joined
Aug 12, 2011
Posts
107
Reaction score
64
Ndugu wana JF nimepata taarifa chuo kikuu cha st.john kimefungwa ghafla baada ya wan. kushinikiza walipewe pesa zao za kujikimu. Kwa taarifa iliyotolewa hapo kinasema wanafunzi wanaoishi hosteli wamepewa masaa manne waondoke ndani ya mabweni. had i tarehe 2.
 
Back
Top Bottom