St. John we are tired now

St. John we are tired now

chuo cha kata hicho kwahiyo usishangae sana wanashindwa hata wenzao wa TEKU wameshatoa mzigo tyr,be patient b'se ulikichagua hicho chuo

Acha upumbavu mtu ambae hata hujui range ya vyuo Tz unakaa kuropoka tu!!!kasome hiyo uone teku lako na st johns kipo juu!!!!!kutangulia kutoa post co uzuri wa chuo pumbavuuuuuuuuuu
 
Hahaha ni kweli metal ila unajua inachosha ndg yang ck ya nne sasa twasubil wkt machaguo yte yameisha . Da! Kama kuna place inachanganya ni hapa. Af wengne wameshakonda ck tano hawajala

Aliyekwambia yameisha nani??? acha kuropoka
 
st.john tuseme hamjui watu wenu wanavyoangaika? Mwakani mtakosa watu maana wataambiwa huwa mnachelewesha selection!
 
vuteni subira nduguzangu mtachaguliwa tu ilimradi muwe mnasifa stahiki kwani sjut huwa hatumuachi mtu#ILA MJUE HAKUNA UBRAZAMEN WALA USISTER DUU#
 
yaani ww dogo mwelulila kwanini unanitukana hivyo nna shaka na matokeo yako,kwanza wamekufanyia standardization lakini umeshindwa kupata tokeo zuri ili upate chuo bora TZ na ulimwenguni,kama ungejua mm nko UDSM naingia second year,so siongei na madogo wa vizazi vya mulugo
 
yaani ww dogo mwelulila kwanini unanitukana hivyo nna shaka na matokeo yako,kwanza wamekufanyia standardization lakini umeshindwa kupata tokeo zuri ili upate chuo bora TZ na ulimwenguni,kama ungejua mm nko UDSM naingia second year,so siongei na madogo wa vizazi vya mulugo

utadharaulije vyuo vya wenzio!!!!!! na hapo ww lazma usup!!!!!!!!!!!! ww kenge tu nnamatokeo mazur tu na uchaguz wa chuo n maamuz yangu na co yako alaaaaaaaaaa!!!!!kuwa na heshima coz hiyo ud ynyw mnakamatwa watu 500 hata haya hamna et ndo chuo kizur!!!!lazima USUP WW
 
dogo mwelulila nakwambia kuwa sina sup hata moja,nangojea tu ifike oct 21 niingia dar kwa kuanza mwaka wa pili,kwahiyo naomba uniheshimu kama bro wako
 
Kueni na subira, ila hadi jumatatu watakuwa wameshatoa. Ila mtakaokuja st john mjiandae kufunga ndoa na kitabu maana apa ni zaidi ya chuo
 
Back
Top Bottom