chuo cha kata hicho kwahiyo usishangae sana wanashindwa hata wenzao wa TEKU wameshatoa mzigo tyr,be patient b'se ulikichagua hicho chuo
Hahaha ni kweli metal ila unajua inachosha ndg yang ck ya nne sasa twasubil wkt machaguo yte yameisha . Da! Kama kuna place inachanganya ni hapa. Af wengne wameshakonda ck tano hawajala
Wametoa ya diploma na certificate yaan cjui wakoje. Shwaiiin
yaani ww dogo mwelulila kwanini unanitukana hivyo nna shaka na matokeo yako,kwanza wamekufanyia standardization lakini umeshindwa kupata tokeo zuri ili upate chuo bora TZ na ulimwenguni,kama ungejua mm nko UDSM naingia second year,so siongei na madogo wa vizazi vya mulugo