Naomba mnisaidie kuhusu hiki chuo kwan nina mdogo wangu amemaliza hapo st jonh diploma mwaka jana.Wakat ametuma maombi walimuambia km ana credit tano o'level anaweza chukua diploma,Niliwauliza inawezekana vp mtu atoke form four aje achukue diploma na sio kwanza certificate??Walinijib wameongea na nacte na wameruhusiwa!Ameshamaliza hyo diploma na ametuma maombi tcu kwa ajili ya mkopo ili akachukue bacheror.Wameshindwa kumpa kumtambua na kumuambia akasome certificate kwanza..Je,wkt st jonh's anatuambia wameshaongea na nacte walikuwa wanatudanganya au la??Naomba mnisaidie,nawasirisha
Mbona wizara ya afya wanachukua watu wa form 4 kusoma diploma.kuna vigezo vya kuzingatia.
Amesoma miaka 2 tu akawa amemaliza diploma ya business adiminstration with marketing...Majanga matupu,thanks kwa mods kurudisha hii threadst john watakua wamekutaperi kwani alikua anasoma course gani? Na mwisho wa kutuma maombi st john ngazi ya certificate ni lini?
st john watakua wamekutaperi kwani alikua anasoma course gani? Na mwisho wa kutuma maombi st john ngazi ya certificate ni lini?
ngoja nijaribu kueleza ninanachofahamu, ni kwamba kabla ya mwaka 2010 nikiwa ninamaana ya 2009 kurudi nyuma kulikuwa na utaratibu ambao ulikubaliwa na NACTE kwamba mtu mwenye credits "C" kuanzia 5 za o level alikuwa anaruhusiwa kwenda kusoma diploma(miaka 2) moja kwa moja bila kupitia certificate(mwaka 1) na mambo haya yalikuwa hayafanyiki St John tu bali hata CBE, TIA na IAA walikuwa wana huu utaratibu
Kuanzia mwaka 2010 serikali kupitia NACTE wakasitisha huu utaratibu na kusema mtu ili usome diploma LAZIMA uwe eiza ni muhitimu wa kidato cha sita uliyepata principal moja au uwe na certificate ya mwaka moja
Hivyo kuanzia mwaka 2010 ukiwa ni muhitimu wa kidato cha nne hata mtu awe na "A" saba kwa maana ya kuwa na div 1 ya saba basi hauna vigezo vya kusoma diploma
Japo utaratibu wa kuwa na "C" kama sifa ya kusoma diploma ulikatazwa na serikali kupitia NACTE vipo baadhi ya vyuo viliendelea na utaratibu huu kikiwemo IAA na baadhi ya vyuo vyengine kama hiko cha St John
Waliosoma diploma kupitia utaratibu huu uliositishwa kwa maana ya 2010-2012 wakaunga moja kwa moja digrii ndio waliula sababu hadi mwaka jana wapo waliokuwa na diploma wakati huo huo hawakuwa watahiniwa wa kidato cha sita wala hawakupitia certificate waliomba moja kwa moja vyuoni kupitia ule utaratibu wa direct entry wakakubaliwa na wanagonga digrii kama kawa ila kuanzia mwaka huu serikali ndio imeamua kuwakomalia sababu ya utaratibu mpya kwamba hata kama ni una diploma lazima upitie TCU jambo ambalo linakwamisha wale waliokuwa na diploma afu ni wahitimu wa kidato cha nne bila kuwa na ceriticate
tungekuwa na watu buku kama wewe humu jamvini,
tungeweza sogeza mlima,

safi sana mkuu kwa maelezo yako mazuri
Mkuu Luno G bigup kwa ufafanuzi mzuri.